Zitto ni mzigo
2020 sisi watu wa kigoma tunajipanga kutafuta mwakilishi wetu mwingine kwani huku kwetu kigoma anatuvuruga na hatumuoni kudhughulikia kero zetu
Hao ni watu hatari ni wachochezi wanatumia kivuli cha dini ili Waone nchi haitawaliki waache wakwe huko ili nchi iendelee labda wangoje maalim seif awe rais zenji na sijui lini
Hapa kwa nyalandu kuhama CCM ni utashi wake ila tuitathimini huo utashi na dhamila yake iliyomfanya ajiondoe uanachama wa CCM pili wanachama wengi wakubwa wa CCM wataondoka kwenye chama hicho kwani wanashindwa kusoma alama za nyakati pia ni viongozi wapenda madaraka na sio dhamila ya kuongoza...
Kwani tukisema kama hamtaki kulipa na kuchimba itakuwa basi hata accasia haijakataa kulipa imesema haina uwezo kwa hiyo tutampa vipindi Vinne vya kulipa hiyo pesa
Wewe muha zitto mbona akili yako finyu kila kitu unakuwa tofauti na serikali badala ya kupongeza hatua iliyofikia unaleta ujinga wako yale maendeleo unayoyafulaia kule kigoma yalitoka kwa baba yako ?
Hivyo maziwa yatatoka bila ngo'mbe kuumpa majani na nyuki naye atazalishaje asili pasipo na maua rais yupo sahihi tujitume
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri wewe ndiye mbumbumbu pasipo uchumi hakuna demokrasia huko marekani wakimaliza tu chaguzi zao wote kwa pamoja wanasimamia uchumi wao na amani yao ulisikia wapinzani wa marekani au ulaya wanaitisha mikutano ya hadhara mikutano yao ni kwenye vikao.upo hapo dogo
Sent using Jamii Forums...
Wabongo bwana wee acha tu !!wanasahau kabisa kwamba kila kitabu kina Zama zake mumuache jk Mrisho atuzalishie mbegu ya mahindi ya rangi ya njano
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania Hawali katiba tunataka maji.barabara.umeme. afya na hela kuwa mifukoni mkitaka katiba anzeni kurekebisha katiba ya chadema. Hapa katiba mpaka tumalize mipango yetu kabambe ya reli ya mwendo kasi.kuhamia Dodoma rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe yericko nyerere ni mjinga kupita kiasi usichukuwe ushabiki kwenye maslahi ya nchi jk airport ni mahali pa kusafirisha na kupokea abiria na mizigo na vipimo vya mizigo inapimwa kwa kilo pili wasafirishaji wa mzigo huo walidai kuwa thamani ya mabilioni hapo ndipo shaka ipotokea tatu hata wewe...
Wewe yericko nyerere si kosa lako ila ni ujinga uliokuwa nao kwanza pale uwanja Wa ndege si mahali pa kuuzia almasi ni mahali pa kusafirisha abiria na mizigo na mizigo hiyo hupimwa kwenye kilo sasa hiyo karate yako inatoka wapi pili kukamatwa kwa mzigo ule ni kutokana na ukadiriaji wa thamani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.