Recent content by NCHAGWA MARWA

  1. NCHAGWA MARWA

    PreGE2025 Amkeni: Serikali imetoa Tsh. bilioni sita kujenga ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Dar, yatoa magari 2 ya milioni mia sita

    Huu ni upuuzi wananchi wa vijijini wanachangishwa fedha za kujenga miundombinu halafu serikali iko bize na mambo ya hosiyo na tija kwa wananchi hii ni Tanzania mpya inayo hubiriwa na machawa akina mondi
  2. NCHAGWA MARWA

    Chanzo cha ulimwengu na Mungu bado ni fumbo kwenye fikra za mwanadamu!

    Ile nguvu iliyo sababisha kuwepo kwa ulimwengu mzima ndiyo Mungu na siyo propaganda za kidini tufahamu kwamba DINI zililetwa ili kuwatawala watu hasa waafrika pia zililetwa kuvunja tamaduni na asili ya Afrika
  3. NCHAGWA MARWA

    Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

    Situamke tuwapige vita pamoja na dini zao inalalamika ukoloni huku umang'ang'ania dini za kikoloni
  4. NCHAGWA MARWA

    Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

    Waafrika tuamke viongozi wenye uzalendo wanahitajika ni lazima tupige vita ukoloni mamboleo uliovishwa koti la ufadhilii tujisimamie wenyewe kwani Marekani ana mamlaka gani yakutaka kukamata viongozi wa mataifa mengine hivi huu sio ukoloni kwanini waafrika tusirudi vita kupigania uhuru wa kweli...
Back
Top Bottom