Recent content by NCHABIRONDA

  1. NCHABIRONDA

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Yaani wewe akili zako unazijua mwenyewe. Pesa ni kama maua kuna wakati yanachanua na kuna wakati yananyauka so unataka kuniambia siku pesa zikikuishia ukafilisika itabidi umwache mkeo?
  2. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Asante sana mkuu nimekusoma vema.
  3. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Inaumiza sana😢😢
  4. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Jibu hitaji langu hayo mengine achana nayo.
  5. NCHABIRONDA

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Bora wewe kuna dogo langu alifanya huo mchezo akaambiwa mume wake alifariki
  6. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Sawa mkuu haina shida
  7. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Habari wanachama wa JF, Kwa mwenye uelewa wa kitengo hiki naomba anijuze gharama za kupima kipimo cha DNA.
  8. NCHABIRONDA

    Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

    Dar to Kigoma nauri iwe laki moja[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] labda kwa usafiri huu
  9. NCHABIRONDA

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wizara ya afya tunaomba mtoe tamko rasmi. Tanzania ugonjwa wa corona upo au hamna? Kukaa kwenu kimya mnawapa nafasi watu wengine wasiohusika wazidi kuwaletea wananchi taharuki
  10. NCHABIRONDA

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Uzuri wa humu jamvini tunao wasomi waliobobea kwenye mambo ya biashara. Maeneo ya hapa ninapoishi frem ya biashara inapangishwa kwa shilingi elfu hamsini (50,000) ndani ya miaka mitatu. Nimejibana sana nimekuwa natunza akiba kidogokidogo nahii ni kutokana na kipato changu kuwa kidogo kwani mi...
Back
Top Bottom