Recent content by Nazi Nakaranga

  1. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Baada ya hali kuwa mbaya nchini China Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Corona, hadi kusababisha vifo vya watu 425. Wapo watanzania waliko huko ikiwemo wafanyabishara na wanafunzi. Hivi punde Milard Ayo kwenye ukarasa wake alituwasilishia taarifa ya Afisa habari Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania...
  2. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Baada ya hali kuwa mbaya nchini China Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Corona, hadi kusababisha vifo vya watu 425 . Wapo watanzania waliko huko ikiwemo wafanyabishara na wanafunzi.Hivi punde Milard Ayo kwenye ukarasa wake alituwasilishia taarifa ya Afisa habari Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania...
  3. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

    Leo 27/01/2020 baada ya kuapishwa Waziri Mpya wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Hassan Zungu alisema yafuatayo, "Nikushukuru Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri. Wakati nakuja watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini...
  4. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

    ni muhimu Mwananchi kuwa na kitambulisho cha taifa si kwa ajili ya kusajili laini tu, hata kwa ajili ya kuthibitisha ahalali ama uhalisia wa Mwananchi husika aidha katika uhitaji wa Safari,Ajira ama Biashara. .
  5. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

    NDUGU BADO UNAISHI MAISHA YA AWAMU YA NNE,Pole sana
  6. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Sawa, ni miaka kumi kwa mujibu wa katiba rais yuko sahihi.
  7. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Roma: Nimekimbilia Marekani sababu ya wimbo wangu naogopa

    ROMAAAAAA AHAAAA HAAAA.....
  8. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

    Unataka wachukue hatua gani, na wakichukua hizo hatua wote tutaharibikiwa hata wewe shabiki wao huioni Libya.
  9. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Tunafanikiwaje kufikia malengo vitambulisho vya taifa?

    Kufuatia kufikia malengo watanzania nchini kuwa na Vitambulisho vya Taifa, tukizingatia haya maONYO tunayopewa na mitandao ya simu kuwa ifikapo tarehe 31/12/2019 laini zote zitafungwa.hizi changamoto kwenye baadhi ya maeneo watu kushindwa kupata kitambulisho, wengine wanaambiwa ni baada ya...
  10. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Chama cha CHAUMMA chajitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019

    unafufukaga na kupotea tu huyu, zombie politics ndio zake.AMESHAFUFUKA HAPO JII MPAKA UCHAGUZI MWINGINE TENA
  11. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Elimu ya Msingi: Mwisho kuwa darasa la sita

    Sawa tu ilimradi wasilete masharti ya kama yale ya David Cameroon.Hata hivyo sisi wenyewe tumefanikiwa hili ya elimu bure Darasa 1 - Form IV, kwa hivyo ikishindikana tutasonga tu.
  12. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

    wazalendo gani au unamaanisha wale wa vidole viwili juu,
  13. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Mbowe aanza kujitetea Mahakamani, Asema maana ya jina lake ni mtu Huru huku akitoa mifano ya watu waliowahi kutekwa au kuuawa

    mimi namshauri aendelee tu biashara ya club yake ile,siasa zishamshinda
  14. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

    1.HEBU KETI 2.KUNYWA MAJI 3.WAZA MENGINE
  15. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania Faru 9 weusi waingizwa nchini kutoka Afrika Kusini ikiwa ni jitihada ya kurejesha jamii hiyo iliyo hatarini kutoweka

    Faru 9 weusi wameingizwa #Tanzania kutoka Afrika Kusini ikiwa ni jitihada za kurejesha jamii hiyo ya faru iliyopo hatarini kutoweka, kutokana na ujangili uliofanyika kipindi cha nyuma. Shirika la CITES, linalohusika na wanyama waliopo hatarini kutoweka linakadiria hadi 2015 kulikuwa na faru wa...
Back
Top Bottom