Recent content by Nazi embe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

    Yani serikali inatuchukulia pouwa sana ila IPO siku uyu kiziga matuhuma kibao mpaka mwenda zake alishamsema eti leo kawa msafi akatunge sheria na kuisimamia serikali mtu mwizi jambazi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

    Uyu mama wa kizanzibar anadharau sana anatuona watanzania wajinga wapumbafu hatuna lolote mtu mwenye matuhuma kibao tena yenhe ushahidi unampeleka bungeni kufanya nini hakuna hata sehemu moja amewahi kujibu tuhuma anazopewa Na sababu ipi anamtengua mkurugenzi wa EWURA na mpaka mda huu wizara...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachimbaji zaidi ya 200 wahofiwa kufariki huko Geita Machimbo ya Msasa baada ya maduara kuanguka

    Wangetoa tarifa ili watu wajue wapendwa wao je wazima au wamekufa na kama msaada uwezo kutolewa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachimbaji zaidi ya 200 wahofiwa kufariki huko Geita Machimbo ya Msasa baada ya maduara kuanguka

    Vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa hawataki kutoa tarifa ila habari ndio hiyo vifo inaripotiwa ni vingi sana majanga hayo yanetokea leo hii. Kufuatia tetesi hizi, Jeshi la polisi limefafanua kuwa hakuna mtu aliyepoteza uhai >>> Polisi: Hakuna Mchimbaji aliyefariki kwenye Machimbo ya Msasa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wazazi Nzega mji walia na ahadi hewa Hussein Bashe: Ahadi ya chakula kwa wanafunzi wa mwanzoli yasalia hewani

    Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata ufaulu wa juu. Hadi leo, utekelezaji wa ahadi hiyo haujafanyika. Ahadi hiyo ilipokewa kwa matumaini...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Acha uongo mwalimu mkuu usilete mmepewa shavu tu kuna walimu wakuu hata kuwasha computer hawajui au niwataje😂😂😂
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Katika kipindi cha maombi mfumo ulikuwa unamwambia wachague nafasi ipi wanaitaji ukarani au usimamizi wa maudhui kwaiyo Kila mtu akacchagua pal e anapoona anaweza shindania ajabu iliyotokea walioomba nafasi ya ukarani nchi nzima maajina yamerudi ila kundi la maudhui limerudi kimakundi kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI, mmebariki Halmashauri kuwa wazabuni wa taasisi zake?

    Boss hizo kamati hazipo futilia michezo inavyoenda
  10. N

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI, mmebariki Halmashauri kuwa wazabuni wa taasisi zake?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja kwa mda sasa serikali imekuwa ikipeleka pesa za maendeleo ya miundombinu katika halmashauri zake mfano pesa za ujenzi wa vituo vya afya, pesa za ujenzi wa madarasa, pesa za ujenzi wa nyumba za watumishi,na pesa hizi zimekuwa zikiingia moja kwa moja kwenye...
  11. N

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Du! hii demoted siyo promoted tena
  12. N

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Shomary ebu tuambie katokea wapi
  13. N

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Wafanya biashara na watumishi Tunduma poleni sana mmeletewa jini mnyonya dam yani kichomi kupita maelezo nzega uko Leo ni shangwe na vigeregerer
  14. N

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Makungu, hivi Nzega Mji kuna nini?

    Atalifanyia na kazi
Back
Top Bottom