Recent content by nazaret

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukimwona mtu anapinga uundwaji wa Sheria ya Gesi na Mafuta muogope kama ukoma

    Umeingiliwa wewe siyo bure!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Kamanda Mbowe ndani Ukerewe Mafunzo ya uzalendo kwa Vijana

    Mungu awabariki wote WANACHADEMA WA KWELI
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Mungu yupo pamoja na wote wanaopambana dhuluma za wanyonge.WABARIKIWE WOTE WENYE NIA NJEMA NA CHADEMA.MUNGU ANAJUA MEMA YOTE MLIYOIFANYIA NCHI MPAKA SASA.Binafsi sitampenda maisha yangu yote huyo msaliti Wa mabadiliko ya kweli.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Karata za Zitto zimebuma!

    Umeolewa wewe binti au ndiyo unatafuta bwana?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    Zero is more meaningful than division 5 which you have due to your weak argument.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Kwa akili yenu mdhani na Watanzania wanakili ndogo kama mlizo nazo nyie?Hatanganyiki mtu Kwa hilo tafuteni jingine.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Alichokiongea Zitto Kabwe huko Mwandiga, Kigoma - Machi 15, 2015

    Jimbo gani wanamkubali hebu litaje kwanza.Mshauri aende kugombea.Mimi naamini ufanyaji nzuri katika team work mtu mbinafsi asiyejificha uso wake simwamini kamwe.Hata hayo unayosema juu yake hakufanya pekee yake wengi tunajua hivyo.Katika mapambano yeyote dhidi ya adui anayerudi nyuma na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

    mke wako
  9. N

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Ha ha ha jisemee wewe usiniunganishe na mimi kwenye ujinga wako
  10. N

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Akili ulezi pole sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamjia juu Bw. Abdulrahman Kinana

    Nawashangaa sana watu mnaokosoa kauli ya sheikhe Salum,hivi hamuona kuwa kweli kwamba maneno ya katibu wenu wa ccm yanamkatisha tamaa waziri?mnataka viongozi wa dini wanafiki?Jiulize kwanini kamsema waziri wa mali asili si huyuhuyu anayeitwa" kaa mbali na tembo"kabanwa mbavu huyo meli imekosa mzigo.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamjia juu Bw. Abdulrahman Kinana

    Nawashangaa sana watu mnaokosoa kauli ya sheikhe Salum,hivi hamuona kuwa kweli kwamba maneno ya katibu wenu wa ccm yanamkatisha tamaa waziri?mnataka viongozi wa dini wanafiki?Jiulize kwanini kamsema waziri wa mali asili si huyuhuyu anayeitwa kaa mbali na tembo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    Una ugonjwa usiotibika unasababisha kuwachukia watu.Pole ukitaka upate nafuu basi acha CHUKI ZA KIJINGA
Back
Top Bottom