Recent content by Navy

  1. Navy

    JamiiForums Tanzania Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

    Ukweli mtupu..
  2. Navy

    JamiiForums Tanzania Wazazi saa nyingine mnaboa bhana arghh!

    Mmmh.. Huyo ni mzazi wako au wa kambo. Maana kama ni mzazi, usingelalamika hivyo, ukifanya kwa kulalamika hivyo huwezi pata baraka!
  3. Navy

    JamiiForums Tanzania Hatari

    Mwanmke ajitume katika mahusiano katika nafasi yake asibweteke, lakin kuwe na kiasi na mipaka!
  4. Navy

    JamiiForums Tanzania Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

    Mwanamke raha kutongozwa!
  5. Navy

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtajiuga kwa presha...must read

    Ha ha ha haha ha ha ha
  6. Navy

    JamiiForums Tanzania Shem alioteshwa je kuna ukweli?

    Jamani jamani! Siku ya hukumu watu tuna mengi ya kujibu! Wapendwa wa siku hizi nafsi ya mtu ikiwaza, inakuwa ndo Mungu kasema
  7. Navy

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada/wanawake wenye elimu kubwa ni rahisi kuwatongoza?

    Hakuna ukweli katika hili! Hapa ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe elimu haihusiki
  8. Navy

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

    Very stupid
  9. Navy

    JamiiForums Tanzania Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Hiyo familia ni dhehebu gani? Kwan kama ni waslamu mke wa pili si ruhsa, muite shemeji mwambie ahalalishe,. Ila kama niwakristo hapo sina ushauri amani ya moyoni mwako iamue, kwan ukisema umkanye shemeji haina nguvu kama ndugu zake wanaliunga mkono huo mchepuko ushauri wako hauna maana kwakee
  10. Navy

    JamiiForums Tanzania Five psychology facts

    Zote tano zina ukweli katika asilimia nyingi
Back
Top Bottom