Recent content by Navisy

  1. N

    Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    ebhnaaaeee sasa si watupe sisi wenye vigezo tupo tu mtaani jaman khaaa na hzo elfu 5 wanatoa mwaka gani maana wazir nae kasema walitoa week 2 zilizopta
  2. N

    Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    NA WAZIRI KUSEMA AJIRA ZILIZOBAKI ELFU 5 WAMESHATAWANYA WALIM WEEK 2 ZILIZOPITA IMEKAAJE NA WAKAT HAKUNA AJIRA WAMETOA
  3. N

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    baba kakaangu na uaskar wake yupo huko anataka nami niende na hela ya kujiunga kaitoa mwenyew mm hata siwaelew kabisaaa yan naona malue lue
  4. N

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Wadau naomba kujua kiundan kuhusu qnet kama kuna yeyote yuko huko na kuna mabadiliko au ametajirika kuptia hyo ktu a share na mimi ktu maana dah ndugu yangu anaamin asilimia mia yan hatak hata nitafte kazi niwe qnet
  5. N

    Natafuta shule ya kufundisha kwa kujitolea! Nina shahada ya elimu katika masomo ya sanaa, Historia na Kiswahili

    Mimi ni muhitimu wa Chuo Kikuu nina Shahada ya education katika masomo ya sanaa History na kiswahiki Natafta nafasi ya kujitolea kufundisha shule yeyote hapa jijin Dar es salaam ili nipate uzoefu kwa mawasiliano zaidi Tuwasiliane kwa namba 0656808115 au 0753513628
  6. N

    Nahitaji kijana wa kuuza duka, mwenye sifa zifuatazo

    0656808115 nipo dar Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    kwann mb zenu zinaisha haraka hvi
  8. N

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Mm shemej angu kila aktoka kazin n polisi na yupo huko Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
  9. N

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Mimi shemej angu yuko huko kashanipeleka kwenye semina zao et nijiunge now namchenga kila siku ananipgia cm Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
  10. N

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    kazpata maana nilimwambia akawa mbishi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Naomba kujua kuhusu hii company ina uhalali wowote au ndio mbinu za kiutapeli mjini kwa mwenye uelewa anijuze tafadhali maana kuna shemeji angu katoa milion nne et kujiunga na hyo qnet ili aje apate mihela Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom