Natafuta shule ya kufundisha kwa kujitolea! Nina shahada ya elimu katika masomo ya sanaa, Historia na Kiswahili

Navisy

Member
Aug 17, 2018
13
12
Mimi ni muhitimu wa Chuo Kikuu nina Shahada ya education katika masomo ya sanaa History na kiswahiki

Natafta nafasi ya kujitolea kufundisha shule yeyote hapa jijin Dar es salaam ili nipate uzoefu kwa mawasiliano zaidi

Tuwasiliane kwa namba 0656808115 au 0753513628
 
Nenda shule ya kata ya mahali unapoishi. Au njoo
 
Aisee! Mawazo mazuri mzee. Prof. Muhongo aliandaa kampeni ya kutafuta walimu wa kujitolea jimboni kwake, ilikuwa mwezi wa February, posho ilikuwa kati ya 250 na 350.

Kwa bashite sijasikia, wala kuona. Kwa mkuu wa wilaya kidoti, kampeni tokomeza zero, sasa sijui zero itaondokaje kama hakuna walimu wa kutosha?

Jitahidi utapata
 
Hadi nafasi za kujitolea sikuhiz ni adimu....Unakutana na lile tangazo "Hakuna nafasi ya kazi,wala kujitolea" lazima uvunjike moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom