Recent content by navin-govind

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kikosi Cha mizinga oyee

    Ni hatari
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Wadau nawasalimu, Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu, Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba. Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Israel yakanusha ndege yake kutunguliwa na Syria

    Msemaji wa kikosi cha anga cha Israel IAF Eli malka amesema hakuna ndege yoyote ya Israel iliyotunguliwa na vikosi vya Syria, kuwa taarifa zinazoonea kuhusu jambo hilo zipuuzwe ni propaganda na si habari za uhakika Malka akijibu wawakilishi wa vyombo mbali mbali vya habari vya kimataifa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Syria claims shooting down Israeli warplane and drone

    Taarifa zimekanushwa na hakuna kitu kama hicho
  5. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kaka wa wife kweli? Au nimeingizwa mkenge?

    Nyie mmejuaje kama wametembea? Hadi mnakua na uhakika namna hiyo!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kaka wa wife kweli? Au nimeingizwa mkenge?

    Sawa umeeleweka mama, maana suluhisho ndicho kinachotakiwa na sio uchambuzi, uchambuzi hauwezi kusaidia, mm kama mleta mada ndie niliewaeleza hili suala, sasa kwa vyovyote vile na kwa kuwa mm ni mtu mzima naweza kuwa yote mnayojaribu kusema nayajua au nayahisi kuwa yametokea, sasa way forward...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kaka wa wife kweli? Au nimeingizwa mkenge?

    Nilihitaji suluhisho pale Chini mwisho wa uzi huu, Nikadhan mngejikita katika hilo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kaka wa wife kweli? Au nimeingizwa mkenge?

    Kwa hiyo haya ndio mawazo niliyowaomba mnisaidie?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kaka wa wife kweli? Au nimeingizwa mkenge?

    Kuna mgeni tumekua nae kwetu kwa wiki sasa, wife alinieleza kuwa ni binadam yake mtoto wa shangazi yake, kiumri wana rika moja na wife. Ukoo wa wife nawafahamu wote kule kijijini sasa madai ya wife kuwa ni mtoto wa shangazi yake yakawa yamenishtua ambapo Nikamuomba aniambie kinagaubaga ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Hoja yako haina mashiko, ni wazi na wewe umeamua kumuamini edorgan na taarifa za serikali ya uturuki, hivyo ni ngumu kukusaidia
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Kwani wewe tukio hili umelipata kupitia wapi? Kama sio media? Wote tumepata kupitia media, ni akili yako kuchambua, Wachambuzi wengi wameelezea vizuri jambo hili, watu wengi wanasikitshwa na kinachoendelea uturuki, haiitaji uende uturuki kuona, Wamekamatwa watu 60,000 wakiwemo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nikiwa katikati ya tendo ni lazima nivue kinga kwa siri, kwanini?

    Upo dunia gani mkuu, Kuna mtu sasa hivi anaharisha sababu ya ukimwi, dawa zimejaa watu wananona ka ngombe, Ukienda muhimbili hata wodi ya wagonjwa wa ukimwi siku hizi imefungwa, haipo tena, ilikosa wagonjwa wapya Halaf hata huyo mpenzi ulienae kama hamjapima hamna tofauti na mm
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nikiwa katikati ya tendo ni lazima nivue kinga kwa siri, kwanini?

    Ebola iliua watu laki moja kwa miezi miwili tu, usiogope
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nikiwa katikati ya tendo ni lazima nivue kinga kwa siri, kwanini?

    Malaria inaua watu wengi kuzidi ukimwi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nikiwa katikati ya tendo ni lazima nivue kinga kwa siri, kwanini?

    Ajali za barabarani zinaua kuzidi ukimwi
Back
Top Bottom