Recent content by Nathaniel jr

  1. Nathaniel jr

    Ndani ya Katiba: Tai nyekundu kuwa vazi la Mwenye Mamlaka imeandikwa kwenye ibara gani?

    Sio kila kitu kipo kwenye katiba Licha ya ukubwa wake, bunge linaongozwa kwa kanuni ambazo hazipo kwenye katiba. Ndio mana nimesema hapo juu kuwa kwenye nyanja ya diplomansia, kuna mambo tumekubaliana nayo kama sehemu ya itifaki. Ila hazipo kwenye katiba.
  2. Nathaniel jr

    Ndani ya Katiba: Tai nyekundu kuwa vazi la Mwenye Mamlaka imeandikwa kwenye ibara gani?

    Ni suala la kiitifaki. Hii inatokana na utamaduni wa kidiplomansia. Spika wa Bunge yupo sahihi kiitifaki Na pale ametoa utaratibu wa kiitifaki.
  3. Nathaniel jr

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    Kimeumana[emoji28][emoji28]
  4. Nathaniel jr

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    Ila watu ni wengi aiseeeee[emoji28][emoji28][emoji28]
  5. Nathaniel jr

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Si alirudi chuoni kufundisha na akawa promoted from Senior Lecturer to Associate Professor
  6. Nathaniel jr

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Nadhani kiuungwana kabisa, Prof. Aachie ngazi Alitoa ushauri wa kitaalamu kabisa, ila kuna watu hawajamwelewa Kuomba radhi ni kuyakana matamshi na maandishi yake. Ili asimamie msimamo wake sio kosa akiachana na uVC
  7. Nathaniel jr

    Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

    Tangia 2016 wizara ya Tamisemi ilihamishwa kutoka ofisi ya waziri Mkuu na kupelekwa Ofisi ya Rais Waziri Mkuu alibaki na Uratibu,bunge na sera pamoja na uwekezaji ambao nao umehamishiwa Ofisi ya Rais Hayo matumizi ya V8-X kwa wakurugenzi sidhani kama PM anahusika Ndo mana wakati wa uapishwaji...
  8. Nathaniel jr

    Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

    Gharama ya kusoma kwa wiki nne ni zaidi ya ada ya mwaka mzima ya shahada ya awali Chuo kikuu cha Dar es salaam ama Dodoma ama Sokoine
  9. Nathaniel jr

    Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Mbona unachanganya concept mbili ambazo ni tofauti Ngazi ya juu ya uongozi Tanzania ni Urais wa JMT Ngazi ya juu ya Chama cha mapinduzi ni mwenyekiti Taifa Ukimtambulisha kwa nafasi ya urais lazima utaitaja ya JMT na kama chama ni mwenyekiti wa Chama taifa.
  10. Nathaniel jr

    Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Cheo cha rais wa Tanzania ni cha juu kabisa Wanamtambulisha kwa nafasi yake ya juu zaidi.
  11. Nathaniel jr

    Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

    Kaka unataka kutengeneza sheria mbele ya mzee Mzee kajenga, katafuta mali ndo mana anaweka utaratibu anaoutaka. Maana yake ni kwamba kama hukubaliani na utaratibu simple and Clear ondoka. Mzee yupo sahihi kabisa, kama unataka kuwa na kiburi kama cha baba yako tafuta vyako.
  12. Nathaniel jr

    Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

    Yah Wakati anajiandaa kwenda Seminary Kuu Akaenda vitani( 1978) Baada ya hapo hakurudi tena[emoji28][emoji28][emoji28]
  13. Nathaniel jr

    Je, CHADEMA inasubiri "Makapi" ya wagombea ubunge kutoka CCM?

    Hizo nafasi za ubunge na udiwani zilishatangazwa kitambo kidogo kupitia office za kanda.
Back
Top Bottom