Recent content by NatGeo18

  1. N

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Safi sana huduma nzuri sana.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye sifa hizi anahitajika

    Njoo PM
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye sifa hizi anahitajika

    Habarini wanajukwaa Mtu mzima mwanaume mwenye makamo ya miaka 50+ anahitaji msichana umri 21-27 kwa mahusiano ya kudumu. Vigezo vya muhimu uwe Dar es Salaam, elimu ya kidato cha 4 kushuka chini. Uwe mkristo, usiwe na mtoto au kama unaye 1 ni sawa, usiwe unakunywa pombe, usiwe bonge (umbo...
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi Corona iishe sijui tutagegedwa wapi tulio single

    Bado mapema miaka michache hiyo.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha avua nguo uwanjani

    Sio bure kocha anavuta bangi chooni. Ni kichaa huyu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

    Duh afrika mambo yanatokana na empathy ya Rais..balaa mbona
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    achene ushamba wa rangi we pimbi. nyinyi ndo motive ya dada zetu kujichubua. shwaini kabisa!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliye tayari kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea kupata mtoto

    achene ushamba wa rangi nyinyi mazungukuku. pumbavu sana! zamani tuliyasema masukuma kumbe kuna mijinga mingine mingi . ulimbukeni tu mamaye zenu. na huu ushamba upo Tanzania sana. mimi natafuta aliyetayari kuanza maisha mwaka huu kuanzia mwezi wa 7. mimi sichagui kubwa ni shepu nzuri na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike mkazi wa Dar es Salaam

    Hadi hivi leo sijafanikiwa kupata ndugu zanguni. N'na dhamira ya dhati kabisa. Bado sijakata tamaa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike mkazi wa Dar es Salaam

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo, Nimefikia uamuzi wa kujiunga baada ya kuelezwa na jamaa yangu wa karibu ambaye ameweza kupata mwenza kupitia mtandao huu. Lengo langu ni kutafuta mwenza, nikipata hitaji langu sina nia ya kuendelea kuitumia a/c tena. Kama bandiko linavyojieleza, ninatafauta...
Back
Top Bottom