Recent content by Natay

  1. Natay

    Baada ya mama yake kuteuliwa, Ridhiwani asema "ni mwanamke wa Shoka"

    Abdalla Ali Na Ali Abdala Unaelewa vip hapo? Ndivyo ilivyo
  2. Natay

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Tulishazoe kila wiki katika Jiji la Dar es salaam kunakuwepo na jipya Mbona kimyaaaaaa
  3. Natay

    Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ahsante Tanzania,Kweli Jomo Kenyata alisema kweli
  4. Natay

    Wakili Kibatala ahoji mamlaka ya Waziri Mwakyembe kuifuta Tanganyika Law Society(TLS)

    Sauti za watanzania kazuiwa kupaa,midomo haili,miguu haitembei,macho yanaona, Ahsante Tanzania
  5. Natay

    Elimu ya Sheria na Haki ya Mtanzania Kikatiba Ifundishwe

    Sio mimi peke yangu niseyejua sheria na haki yangu kikatiba nikiwa kama mtanzania,Ni imani yangu kuwa ni baadhi tu ambao hata idadi yake hafiki robo ya watanzania wanajua haki zao kimsingi na pengine ni mwanasheria Tulipokuwa shule ya msingi tulisoma somo la siasa,ambalo liliongelea katiba ni...
  6. Natay

    Tanzanian Drug Lord, Ayubu Mfaume Kiboko, from inmate in a Hong Kong prison

    Hawa jamaa ni more intelligence than you think Kwa vuguvugu hili sidhan kama yupo
  7. Natay

    Tanzanian Drug Lord, Ayubu Mfaume Kiboko, from inmate in a Hong Kong prison

    Sio Pablo kweli?? Au ndio yule aliyehamishiwa kwa Trump??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. Natay

    Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga

    Kwani mirungi ni madawa ya kulevya Ule ni mmea jamani Unaliwa au unavutwa Kenya ni moja ya zao la biashara
  9. Natay

    Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    ina maana serikali nayo ina sound juu ya hilo
  10. Natay

    Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Hili suala la madawa ya kulevya lisipoteze ilan ya JPM Nchi ya viwnda ndio tija Tollywood filam tumezichoka
Back
Top Bottom