Natay
Member
- Jun 29, 2015
- 54
- 7
Sio mimi peke yangu niseyejua sheria na haki yangu kikatiba nikiwa kama mtanzania,Ni imani yangu kuwa ni baadhi tu ambao hata idadi yake hafiki robo ya watanzania wanajua haki zao kimsingi na pengine ni mwanasheria
Tulipokuwa shule ya msingi tulisoma somo la siasa,ambalo liliongelea katiba ni nini,na serikali imeundwa katika mihimili mingapi,
Secondary hali kadhalika hivyo kubalisha maneno kutkoka kiswahili kwenda lugha ya mkoloni,yaani kiingereza(English)
Watanzania wengi hatujui haki zetu za kimsingi na kikatiba,miongozo ya kisheria.
Mfano mdogo,Pengine mtu anafuatulia jambo lake lolote ambalo ni haki yake ya msingi kabisa lakini bado utaambiwa (Fanya mpango turahisishe mambo).
Tulipofikia Watanzania wengi tunashabikia mambo tusiyoyajua ila kwa wachache,Akisema mukulu lolote hata kama kavunja utaratibu yupo sawa,akisema Raia wa kawaida kavunja sheria.
Halafu utakuta baadhi yetu wanashabikia na wanaunga mkono jambo wasilolijua.
Ninaomba somo la haki na katiba lisiishie secondary liwe mpaka chuo.