Recent content by natamgaya

  1. N

    JamiiForums Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari zenu wana biashara, Ni biashara ipi inaweza kufanyika vizuri kwa mtaji wa laki 2 na kukuza mtaji? Ahsante.
  2. N

    JamiiForums Je, inawezekana kwa mtu mwenye Diploma ya Computer Science kuapply Bachelor ya Accounting?

    Habari wanaelimu. Je, inawezekana kwa mtu mwenye Diploma ya Computer Science kuapply Bachelor ya Accounting? Asante, kwa ushirikiano.
  3. N

    JamiiForums Natafuta Nafasi ya Kuigiza katika Filamu au kushiriki katika Matangazo.

    Hahah, sio mbaya. Ni tangazo pia.
  4. N

    JamiiForums Natafuta Nafasi ya Kuigiza katika Filamu au kushiriki katika Matangazo.

    Hivi sasa ni asubuhi ama usiku?
  5. N

    JamiiForums Natafuta Nafasi ya Kuigiza katika Filamu au kushiriki katika Matangazo.

    Natafuta nafasi ya kuigiza katika filamu au kushiriki katika matangazo ya runinga. Mimi ni kijana wa miaka 27, wa kiume. Nipo tayari kushirikiana na yeyote atakayehitaji kushirikiana nami. Ahsanteni.
Back
Top Bottom