Huyo mama hana makosa, km simu yako haina ubaya wowote na unajiamini kwanini uchukie?????
Simu km imejaa uchafu lazima uchukie.
Tafakar sana kabla ya kuchukua hatua.
Jaman wanawake wanabeba lawama za bure.
Wew unaesema mwanamke c ndugu yako unakosea. Mtu anaekujali na kukuhudumia, anakuvumilia kwa kila hali unaweza sema c nduguyo. Mwanamke n zaid ya ndugu.
Pole sana kaka yangu km walikushaur wadau waite ndugu zako waeleze hali uliyonayo ili waanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.