Recent content by natale

  1. natale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili nimshauri mke wangu nioe mke wa pili na wa tatu?

    Kisa chakuo wapili nn? Mke wako hakiridhishi kwani? Au anamapungugu yoyote?
  2. natale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu housegirl ana maana gani?

    Ningekua mie nishamtafuna zamani ila kaka achana nae
  3. natale

    JamiiForums Tanzania Hawa ombaomba: Je, ni Utamaduni? Umasikini? Au ni tabia?

    Kwangu mm nahis Ni tabia sizani mwenyewe shida anaweza kukaa barabarani kila siku kwa kusubiri riziki ya kugaiwa... Mwenyewe shida lazima Angie mzigoni atafute riziki
  4. natale

    JamiiForums Tanzania DNA & hobbies

    Mimi mwenyewe nataka kujua ukipata jawabu limekuridhisha namie naliomba
  5. natale

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

    Mie sijakusoma bado wewe umekusudia nn haswa, naona wewe nyingi sana
  6. natale

    JamiiForums Tanzania Soda za Cocacola zinawanyima usingizi wapinzani wake wa kibiashara

    Company kubwa ila wako careless kimtindo nahaswa hapa Tz...
  7. natale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu ana dalili za kuwa shoga

    Kama ni ndugu yako muloshibana basi kaa nae muhoji
Back
Top Bottom