Huyu housegirl ana maana gani?

Una uhakika huyo ni 'housegirl'?
Makahaba wengi biashara ikiwa ngumu mjini hujifanya ma housegirl
kazi kwako

Binti wa kawaida aliekulia popote hapa Tanzania, si rahisi akawa na ushujaa wa kufanya visa kama hivyo, utakuwa sahihi, huyo ni mjasiriamali anamlia timing.
 
Kama ni kweli hutaki kumsaliti mkeo,mpigie simu mkeo mwambie hali halisi na Amuonye hapohapo kwa njia ya simu.

Ukishindwa hilo basi umedhamiria kumgonga
 
ushauri kutoka kwa mch.
kama hela ya matumizi nenda mwachie mpaka iyo j3, alafu ww kama una ndg,au rafiki uende ukalale huko, ndivyo tunavyofanya sisi wachungaji, maana ukiingia kwnz hautakumbuka hata salama ,na nyota yako ya mafanikio itachukuliwa naona kuna mtego ktk ulimwengu wa roho. zingatia

Yaani mchungaji mzima unaikimbia nyumba yako badala ya kumfukuza huyo pepo kwa mamlaka? Au ndio kuikimbia zinaa?
 
Ndo maana nikakwambia uache pombe, tatzo lako ukilewa tu unaanza kuona maluweluwe.. House girl kavaa suruali unasema yuko uchi, mara analia kimahaba kumbe anaimba.. Ahmadaa umelewaaaa

Hahaha...kwanza mi nashangaa hg atapata wapi ujasiri wa kufanya hivyo ikiwa jamaa hakutengeneza hayo mazingira? Chaiiii...
 
Wakuu juzi wife amesafiri kwenda kwao kuhudhuria mazishi atarudi Jumatatu

Sasa wife kaniacha mm na housegirl tu nyumbani kaenda na mtoto wetu mdogo
Tangu ameondoka kwa kweli Housegirl huyu nashindwa kumuelewa, juzi hiyo hiyo nimerudi kutoka kwenye pombe zangu usiku kama Wa saa sita hivi namkuta kalala kwenye kochi anakoroma mapaja yote nje, khanga imetoka kwa pembeni nikaliona kufuli live na ile sehemu husika ikiwa imetuna balaa

Nikajifanya simuoni nikapitiliza chumbani moja kwa moja ingawa hali yangu ilikua mbaya sana kiasi kwamba abdalah kichwa wazi alikasirika almost lisaa lizima bila kupumzika

Yote Tisa Jana sasa ndio kumi, nimerudi usiku, tupo familia mbili tumepanga hapo tuna share upande na kila famili ina ufunguo wake Wa Geti kuu
Sasa ile nafungua tu mlango Wa ndani kwetu nashangaa kumkuta Housegirl kwenye coach akiwa kama alivyozaliwa akijihudumia kwa mkono kwa speed ya ajabu huku akilia kwa mahaba mazito mno nilibaki nimeduwaa nikatamani nimvamie pale kwenye kochi kwa uchu niliokua nao lakini roho ikasita na kujikuta nimepitiliza chumbani akaacha kumbe alikua anitega mm
Tulipoamka asubuhi wala hakuona aibu kwa tukio la usiku ndo kwanza ananiamkia huku akirembua macho
Nikaondoka kwenda kazini nikiwa najiuliza maswali mengi sana

Wadau sijui kama nitafika Jumatatu nikiwa sijaanguka dhambini, mungu anisaidie ingawa Maji yanaonekana kuzidi unga nahisi kama nitakoroga uji

Kuna mwenye jawabu hapa nifanyeje kuukwepa uchokozi huu Wa hali ya juu ambao sijawahi kukutana nao kabla

Na Leo sijui nitakuta jaribu gani

Help pls

NB
Huyu binti ni Mpya wife amemleta ana wiki ya pili sasa
Alimtoa tanga mjini

Jumatatu hufk
 
Ndugu km siyo ushigongo basi upo kwenye mitihani. Huyo house girl kajipanga kuja kukuharibia ndoa yako. Kukubali na kukataa yote sawa na unavyozidi kukaa kimya uchukui action yoyote ya kumuonya ndiyo kabisa lazima mkeo akirudi akuuziye kesi either mumeo kanibaka au ananitongoza. Ongea na wife wako mapema kuhusu tabia za huyo house girl ila nako km wife hakuamini lazima utanunua kesi. Pole sana house girl ni muhimu kwetu ila wakati mwingine ni mapepo
 
Ungeweka na kapicha mkuu story ingenoga san. anyways, hiyo ni bahati ya mtende
 
Hahaha...kwanza mi nashangaa hg atapata wapi ujasiri wa kufanya hivyo ikiwa jamaa hakutengeneza hayo mazingira? Chaiiii...

Mkuu huyu jamaa lazima anamazoea flan na huyu HG wake, sasa anataka kuumbuka anataka ushauri.. Aghhhhhhh!!
 
Ndugu, hawa watu huwa ni majeruhi wa mambo mbalimbali ya kimaisha, hivyo huenda ni bomu linalosubili kukulipukia, achana nae, na kama ni mwanaume jasiri mwabie kwamba aache huo ujinga na wewe si mtu wa staili hizo. Afu ndugu nikwambie jambo moja ukiona house girl anajilengesha kwako kirahisi hivyo ujue kuna namna amekudharau sana na kukuona wewe ni kama vijibaba viruka njia alivyowahi kuviona huko, na ni kajitu kenye akili nyepesi kakitegwa na kanga tuu kameingia, hivyo kulala naye ndo kuthibitisha kwamba alivyokudhania hajakosea hata kidogo, na itakuwa dharau kubwa sana kwa mkeo. Kumkemea utakuwa umemuweza maana ataona alikosea si penyewe na alikuwa wrong katika mawazo yake. Angalizo, huyo binti hakufai atasambaratisha familia, la unaridhika kuingia katika mgogoro wa kifamilia usio na tija katika maisha yako, unajua kwa nini, kama, house girl wako ni timamu hatakubali adhalilike yaani ile siku uliyomuona uchi wake, la atondoka au atadai wewe unamtaka, na atamwambia mkeo, hivyo kilichotokea mweleze mkeo fasta ili akirudsi tu afungashe virago.

Pia nakupa hongera mkuu sisi wanaume tusipumbazwe na uasili wetu, maana wao hututega kwa huo, big up kwa kutomwingilia mpaka sasa yaani nasema unajitambua mkuu, basi shinda moja kwa moja kuwa kama barcelona au chelsea, namba ya ushindi. Kisaikolojia kakuachia mawazo na ana uhakika sasa akijileta utalala nae, wewe pia tambua hili na ulishinde. Kaka usiendekeze abdala kichwa wazi maana utamlala yeyote mwenye akili mbovu au nzuri itakuwa twende, yaani dadako, ma mdogo, shemejio, mwanao in the future n.k wakiwa na akili nyepesi wakakutamani utwala, chunmga sana. Kuwa lijali ni zawadi upasayo kuitunza na mkeo ndio malkia wa ulijali wako. YANGU HAYO.
 
Wewe lijali kweli? Eti anauliza kaka mimi ananifanyia hivyo siku ya pili nampandisha cheo.Halafu nampa pesa atunze siri.
 
Wewe lijali kweli? Eti anauliza kaka mimi ananifanyia hivyo siku ya pili nampandisha cheo.Halafu nampa pesa atunze siri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom