Recent content by Natal Vice

  1. Natal Vice

    Tutakusaidia kujua mkeo/mumeo anachepuka

    Wanaume mapovuu yanawatoka[emoji13] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. Natal Vice

    Tabia mbaya aliyonayo mpenzi wako ambayo huipendi

    Hanibembelezi na me napenda kubembelezwa hatariii
  3. Natal Vice

    Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

    Kwakweli inaumiza sana sana... [emoji27] [emoji27] [emoji27] jamani ukikuta text usioielewa tu kwenye simu ya mumeo ni shida sasa anakuaga kabisaaa na unajua anaenda kulala kwa mke mwingine jamani inauma asikwambie mtu.....
  4. Natal Vice

    Kweli hii ni bahati yangu

    pole....anza upya
  5. Natal Vice

    Hii ina maana gani? Mume kuendelea na mawasiliano na wapenzi wa zamani

    Habari zenu... Jamani ama kweli nimeamini wanandoa hasa kwa ndoa za siku hizi kama ikatokea umetoka kwenye hiyo ndoa aisee kurudi tena itakuwa kazi kweli... Hivi kweli mume wako kam follow ex girlfriend wake Instagram na anakwambia kabisa huwa nachat nae tunabadilishana mawazo... Hivi hii...
  6. Natal Vice

    Ushauri wenu tafadhali

    Nimeongea nae sana kuhus hili,huwa ananijibu kuwa atalifanyia kazi
  7. Natal Vice

    Ushauri wenu tafadhali

    Habar zenu wana Jamii Forums. Mimi ni mgeni humu ila nimeona niingie humu kwa kupata ushauri zaidi,ni miaka miwili tangu nimeolewa na nashukuru Mungu ninaishi vizuri na mume wangu na pia Mungu katujalia tumepata mtoto mmoja na pia kwa sasa nina ujauzito. Tatizo langu kubwa ni kwa huyu mume...
  8. Natal Vice

    Nyumba inauzwa

    sqrm 1575 eneo lililobaki unaweza kujenga nyumba nyingine na eneo la parking kubwa tu ikabaki.
  9. Natal Vice

    Nyumba inauzwa

    Nyumba Inauzwa ipo Pugu Kichangani mita 800 toka bara bara kuu ya Nyerere .Ukifika Kajiungeni njia panda ya Kisarawe na Chanika toka hapo ni mita 800 upande wa kulia.BEI NI 65 Milioni maelewano yapo. Ukihitaji kwenda kuiona tuwasiliane anytime. Kwa mawasiliano zaidi 0687702626 (Kwa picha zaidi...
  10. Natal Vice

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba nzuri sana hiyo mkuu.
  11. Natal Vice

    Je, hili ni tatizo, au?!

    ni msichana mwenye umri wa miaka 24,ana takribani miaka kama mitatu hivi,hajawahi kusikia raha anapokutanana na mwenziwe faragha,kwa kifupi haijui raha ya mapenzi ikoje,je hali hii inaweza kusababiswa na nini???????????
  12. Natal Vice

    Makabila yanayochukua mahari Kubwa Kutoka kwa mume

    kusema kweli sina cha kujibu cause me mwenyewe nimeolewa kwa mahari ya milioni tano na laki saba............
Back
Top Bottom