Recent content by nasy de jr

  1. nasy de jr

    Flat tv za aina zote zinapatikana

    zinapatikana kwa bei sana zipo za aina mbali mbali kama LG na zingine kibao. Mawasiliano. 0673265113
  2. nasy de jr

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Hayo majibu yenu sio poa jamani duu simna mkatisha tamaaa huyo kijana. Tujaribu kuwa serious. Tunapo mkwamua huyu hata vijana wengine mnawapa fursa
  3. nasy de jr

    Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

    Pia dangote akiondoka watanzania watakosa ajila. Ndani ya uwekezaji wake kuna baadhi ya watanzani a wengi waliajiliwa kufanya kazi kwenye hivyo viwanda. Je ni bora watanzania ambayo hawana ajila wazidi kutapakaa nchini au mwekezaji aendelee kukaa nchini?
  4. nasy de jr

    Samsung GT19082 nauza

    Simu ni. SamsungGT19082 version 4.2.2 storage 8.00GB haina tatizo lolote Lakin nyumu mfuniko hamna ulipote ila simu iko vizuri. Kwa contact nichek 0673265113 Bei laki 280 punguzo mpaka 250 napatikana mbez beach kwa komba
  5. nasy de jr

    Satanic temple vs Freemason

    Dont believ abt diz. Believ in jesus name....
  6. nasy de jr

    Modelm

    Aina ya modelm ji airtel ina lain yake bei 25000 ukiitaji unaletewa ulipo. Ni mpya
  7. nasy de jr

    TIMELESS STATEMENTS. that can change your life. Part 1

    Ni statement inazoelimisha like life, knowledge,success,love,good,. Kinapatikana kwa bei nafuu elfu kumi tu kimoja. Kwa mawasiliano tupigie. 0717420309,0673265113
  8. nasy de jr

    Canter mpya inauzwa

    Ni gari mpya ina miezi kumi tangu kinunuliwa. Haidaiwi ni tani 3 na nusu. Iko mtwala ukiitaji inakuja ulipo.no 0673265113,0713585040
  9. nasy de jr

    Kiwanja madare mbopo.

    Kiwanja ni nusu heka kinauzwa mil 36.kipo sehemu ya tambalale na nikizuri sana
  10. nasy de jr

    Nyumba kagera

    Ina vyumba vitatu ndani na sehemu ya wageni. Chumba cha master kina choo ndani. Ina banda la uani pia lina vyoo viwili, uani pia jiko na store. Nyumba imezingusha uzio bei ni mil 80. Mwisho
  11. nasy de jr

    Kiwanja kinauzwa Chalinze

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya chalinze ambayo ukubwa wake ni heka nane(8) na lipo barabarani karibu na rami kila plot moja ambayo ni sawa na heka mbili na nusu ni milion miatano mwisho ni mil mia nn na hamsini. Lipo chalinze kalibu na barabara ya morogork road
  12. nasy de jr

    Nyumba inauzwa.

    Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni kagera.ina vyumba sita,choo na bafuu vya ndani kwa ndani. Pia inauzio mkubwa wa ukuta na ina geti. ila gari haliwezi kufika ndani huwa lakini unaweza kupaki nyumba ya pili. Nyumba kubwa na nzuri pia inasehemu ya kulia chakula na sehemu ya kupumzikia
  13. nasy de jr

    Habari

    Ninaa kaka yangu ni fund mzur sana. Nipe no yako nimoatie asante.
  14. nasy de jr

    Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa mbezi kimara 20 kwa 25. Kipo sehemu tambalare pia vibari vyote vipo. Bei ni mil 6.5
Back
Top Bottom