Recent content by nastic boy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mh Sugu juu ya alichokisema Mbunge Mlata jana bungeni

    Tatizo huyo viti maalum kila kitu anataka achangie....
  2. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hivi kuna aliyefanikiwa hapa naomba tupeane updates jamani.. Na pia mwisho wa kuomba uhamisho ni lini??
  3. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu idara ya msingi yupo musoma mc anatafuta wa kubadilishana nae maeneo ya hai au arusha mc
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanachuo hatuandikishwi kwenye BVR?

    Udom ipi???mbona wenzako wamejiandikisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtia nia ubunge Sengerema, Dr. Watugala (CHADEMA) afariki dunia

    Reast in peace kamanda
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Salary slip bila mshahara! Hazina mpo wapi?

    Hapo bado pia kwan halmashaur zina watu wengi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Salary slip bila mshahara! Hazina mpo wapi?

    Duhh hii serikali yetu ina utani sasa hiyo million 91 watalipa wangapi??
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Nimeuliza coz nasikia kuwa uhamisho hufanyika wakati wa likizo mfano waalimu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Na c ninaweza kuomba muda wowote au had kipind cha likizo??
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Kwa hiyo naweza kuanza kwa DED ili nimalizane nae au had nianzie kwa mkuu wa shule!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Vipi je kama nataka kuhama ndani ya wilaya kwangu lazima nitafute mtu wa kubadilishana nae!na je uhamisho wa namna hii unasumbua?? Nisaidie kwa hapo pamoja na taratibu za kufuata... Thnx
  12. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hiv mwisho wa kuomba uhamisho ni lini??? Naomben nijuzwe
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wengi wajitokeza kumdhamini prof muhongo mtwara

    Ataweka bomba la gesi kila nyumba...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, billion 10 za Mishahara ya walimu zipo wapi?

    Shida nimeshuhudia walimu wakipiga lampard.... Hawajapata hata ya kujikimu
Back
Top Bottom