Recent content by Nassor Elbahsany

  1. Nassor Elbahsany

    Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

    Mola awape sibra watahiniwa na awape kilichobora zaidi
  2. Nassor Elbahsany

    SoC03 Namna Baadhi ya Viongozi Wanavyogeuka kuwa Chanzo cha Migogoro Afrika

    Tumshukuru sana Mola viongozi wetu wa Tanzania kuwa ni wasikivu na wenye kuipenda amani kwa vitendo
  3. Nassor Elbahsany

    SoC03 Namna Baadhi ya Viongozi Wanavyogeuka kuwa Chanzo cha Migogoro Afrika

    Utangulizi Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa kawaida yangu. Sababu ya kupenda kwangu kusikiliza habari ni kutokana na shauku yangu ya kutaka...
  4. Nassor Elbahsany

    SoC02 Vijana tujitume, kulalamika hakuna faida

    VIJANA TUJITUME KULALAMIKA HAKUNA FAIDA Vijana wengi wa Wakitanzania wanaonekana kulalamka zaidi kuliko kujituma. Kama utafuatilia kwa umakini vijana wanalalamika kuwa serekali haitowi ajira, au hawana ajira, au kulipwa kidogo, huku wakitumia muda mwingi katika mitandao ya kijamii na maskani...
Back
Top Bottom