Recent content by NASSARY EGM

  1. NASSARY EGM

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Ni ukweli usiopingika swala la udini limepaliliwa na viongozi wa ccm inabidi wananchi tuwe makini kwani hatuna mtetezi ccm na serikali yake hakuna kitu
  2. NASSARY EGM

    JamiiForums Tanzania Siasa

    Siasa ni mchezo ambao kila mtu anaupenda hasa wale wakereketwa wa siasa hata mimi pia nimkereketwa wa siasa lakini kunajamba ambalo nimeliona katika siasa ya Tanzania kwa hili lazima niwe wazi kuwaeleza wanasiasa wa kitanzania hasa chama tawala. kwanza nakipongeza Chama cha Demokrasia na...
Back
Top Bottom