Ha ha haaaaaaa,,, wewe ndie ulieumbuka, kwa naejua Sheria, Ibara hiyo ni katika kesi nyingi sana Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa kimeshindwa kusimama kama "Derogation Clause" kwenye Haki za Msingi" Serikali imekua ikikitafsiri tofauti na kujaribu kuminya Haki za Msingi kwa Kisingizio hicho...