Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi.
---
SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa kipindi cha nusu ya kwanza wa fedha 2022/2023 kuanzia julai hadi disemba mwaka jana, imekusanya sh trilioni 12.46 sawa na asilimia 99 ya lengo la makusanyo ya sh trilioni 12.48.
Kwa mujibu wa Kidata makusanyo hayo ni ongezeko la sh trilioni 1.35. kwa namna...
Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la utalii la kimataifa ambalo litafanyika kwa siku mbili tarehe 23 na 24 mwezi Febuary mwaka 2023 katka hotel ya Golden tulip uwanja wa ndenge Zanzibar.
Lengo kuu la onyesho hilo ni kuhakikisha wanaifikia dunia na kuonesha zanzibar imefunguka...
Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Njombe Mkoa wa Njombe umeanza kutekeleza Mradi wa maji utakaonufaisha wakaazi 4,144 wa kijiji cha Vyombo Wilayani humo.
Meneja wa Ruwasa wilaya ya Njombe ELIKALIA MALISEMA alisema lengo la kujenga Mradi huo ni kuwapunguzia...
Historia
Makala: Historia ya Moroko
Moroko ya Kale
Habari za kimaandishi za kwanza ni kutoka karne za kwanza KK. Wafinisia walijenga miji yao pwani lakini eneo la ndani lilibaki nchi ya Waberber waliounda ufalme wa Mauretania ya Kale (usiuchanganye na nchi ya kisasa Mauretania) uliounganisha...
Ukame na njaa inayoendelea kutikisa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeno nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa huyari kutoka Bonde la Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomero katika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wajuta.
mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, RAYMOND MANGWALA alisema kutokana na...
Ttz hamjafahamu sio ukarabati Kwa ajili ya uuzaji ni ukarabati wote toka meli imeanza kutumika . unafikiria mtu gani au serikali gani ambayo inaweza kutumia fedha nyingi kukarabati Hali iuuze Kwa fedha za chini huyo atakuwa juha
Najuwa hamtaki kumfahamu mtoa mada.mtoa mada anamanisha Lissu anataka watu waandamane Tanzania Kwa ajili ya kumpigania maslahi yake na familia yake wakati yeye yupo nje analipa na wazungu wewe huna anaekulipa upo tz.umeingia barabarani umevunjwa mguu hivi Lissu anaweza toka nje akakuletea fedha...
Hivi mlitaka Serikali ya Zanzibar ifanye nini kwenye hili? Mnatakiwa kutambua kuwa Mv. Maendeleo imeanza kufanya kazi tangu mwaka 1980 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 600 na mizigo takribani tan 1001 kwa siku.
MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.