Recent content by Nasibu Thabith

  1. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Samahani sijakuelewa vizuri hapa
  2. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Hili neno linaweza kuzaaa kitu[emoji120][emoji120]
  3. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Asante kwa ushauri
  4. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Niliepo mbele yenu ni kijana mpambanaji, naombeni mnisaidie mawazo ya biashara ya mtaji kuanzia milioni moja hadi milioni tano. Kazi yangu ya awali ilikua ni dereva bajaj, nimeifanya kwa muda na sasa nimeamua kuiacha kabisa. Nimefanya hivyo baada ya kupata tatizo la maumivu ya mgongo yasio...
  5. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwa wenyeji wa mikoa Dar, Dodoma na Mbeya, na kungine pia napokea

    Asante kwa wazo, hususani wapi mkuu
  6. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwa wenyeji wa mikoa Dar, Dodoma na Mbeya, na kungine pia napokea

    Wasalam wakuu wa jukwaa hili pendwa, Mbele yenu ni kijana mchakalikaji na mpambanaji pia, sichagui cha kufanya. Naombeni mawazo wenyeji wa maeneo husika hapo juu ila hata nje ya hapo napokea pia. Nilitoka mkoani nikaja dodoma kwa lengo la kufanya biashara ya mifugo hususani mbuzi, nilifika na...
  7. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

    Gunia linakua na debe ngapi
  8. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

    Asante sana mkuu, ngoja niwatafute
  9. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kuanza kufanya biashara na Hamjui muanzaje

    Asante nimepokea
  10. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kuanza kufanya biashara na Hamjui muanzaje

    Naomba kuuliza, katika ile hali umesimliwa biashara flani na watu au mtu, mda huo huo ukawa na shauku ya kutaka kuifanya hiyo biashara, na kikawa ni kitu kinasumbua sana akili kwa kutamani kufanya, je hapo unapaswa ufanye maamzi ya kufanya hiyo biashara uliyosimliwa kwasababu tiari umekua na...
  11. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Nimesoma comment zote nimeona mvutano mkubwa sana, lakini pia nimeona kuna mawazo yenye afya na mengine ni hafifu sana, mie ni dereva boda boda, changamoto za boda boda nazifahamu sana, lakini nasema hivi siwezi kuchukua pesa yangu mfukoni nikaenda kununua pkpk ili nimpe mtu, na mtu anaetetea...
  12. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

    Umeonaa eeeh, unapewa nondo mpaka unajiona mtu katika watu hata kama ulikua umeshajikatia tamaa, pongezi sana
  13. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

    Asante sana mkuu, hiki ni chakula cha ubongo umenipa, ndugu nisamehe maana sitaacha kukusumbua pindi nitakapo kuushibisha ubongo wangu, na mda si mrefu nakuja pm, asante sana
  14. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

    Asante sana mkuu, sitachoka kukusumbua pale nitakapohitaji msaada wa kujua zaidi
  15. Nasibu Thabith

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

    Asante sana mkuu, kwa kunipa maono, kuhusu vijana waaminifu kwanza kabisa nitakuepo mwenyewe ili kusimamia shughur nzima, unaweza kujua bei ya tank hilo la 3000L, Vacuum na woover ni mashine mbili tofauti? Bei zake zikoje, asante
Back
Top Bottom