Exactly,tatizo wanaingizwa chaka na mafundi vishoka,ufanyaji kazi hauna tofauti,ili mfumo uwe Sawa lazima kuwe na vitu viwili
1,Septic tank
2,Suck away pit
SEPTIC TANK ;lazima isakafiwe kuta zote na itengenezwe kitaalam Kwa mujibu wa michoro ya kihandisi ili liweze kuchuja maji na kuyatoa...
Mkuu kibongobongo tafuta integrated amplifier ya 2 channel 200w yenye option ya bass+treble na A+B channel speaker na sio lazima iwe na option ya subwoofer alafu tafuta speaker 2 zenye 3 way system hizi zitumike kama front speaker na zisiwe chini ya 100w/speaker kisha unganisha kwenye channel...
Mimi ni mtanzania ila hobby tunatofautiana na haujawahi kukutana high quality sound system ndio maana unaisifia sony lakini sio mbaya ukaendelea kujifunza utaelewa tu,ila hiyo sound yako ya sony mpaka vol 25 ndio mziki unasikika?wakati wenzio vol 2 tu mpaka jirani anaburudika bila kuhisi...
Nimeshaenda na ndio wakagungundua hizo way bill number zimefanana na wakaniprintia hizo doc lakini leo siku ya tatu tokea tuone hiyo na asubuhi leo nimeenda ngonjera ni hizo hizo wameniambia mzigo utachelewa kutoka kwa sababu TBS na TRA parcel huwa zinachelewa sana sasa nini maana ya express...
Mkuu umeniacha kidogo hiyo highschool ni nn? wakati mzigo wangu ni radio na sio dawa wala chakula na kwenye details umeandikwa hiyo radio na gharama za manunuzi na jina langu na location ni tz,sasa nashindwa kuelewa elimu wanayoitumia wao wakati kitu kinaeleweka kabisa na waliwezaje kunikadiria...
Yaani mkuu mm hata sielewi nimejaribu kutumia DHL wamenipiga custom duty 280,000,tbs 30,000 jumla 310,000 kwa mzigo wa $199 kutoka USA nimelipa vitu vyote hivyo kwa wakati kabla hata mzigo haujafika nikarelux nikjua mzigo ukifika wata deliver haraka sababu kila kitu tayari sasa mzigo umeshafika...
Mkuu inategemea na model yake nyingine zinatwanga tu spika zote ila nakushauri tafuta ile user manual na kama umaeipoteza idownload na kisha uisome sehemu ya speaker settings au setup na uiunganishe system ionekane kwenye screen ya tv alafu fuata maelekezo ya setting hizo itakuonyesha distance...
Nakushauri kabla haujachagua wala kununua soma reviews za waliozitumia hizo product ndio utapata majibu sahihi mimi binafsi sijawahi kutumia hizo lakini kuna bro wangu alinunuaga hiyo sony dav sikuifurahia kwa kweli na hata yeye mwenyewe alikili amepigwa sababu aliwahigi kwenda denmark miaka ya...
Mkuu imezeeka hiyo achana nayo jipange kutafuta nyingine kulingana na uwezo wako,na tambua kuwa kila kitu kina ukomo wa kuishi alafu na mazingira yetu pia yanachangia sana vitu kuchakaa mapema na unaweza ukawaona matechnician wakasolve hiyo issue lakini haitaweza kudumu mda mrefu cause spare...
Elac ni technologie ya mbele huko kwa mazingira yetu ya kibongo na umeme wetu mara high/low voltage,vumbi nk.haitaweza mara nyingi product za Malaysia ndio zinahimili mazingira yetu na production zao ni kwa ajili ya exportation chini ya usimamizi wa makampuni ya kijapani,na unafahamu technology...
Mkuu hiyo denon m41 ni nzuri ila ghali sana alafu kama wewe ni fun wa denon nakushauri tafuta avr-s540bt ni nzuri ina feature nyingi na ni stereo na 4khdmi na bei yake ni rahisi hasa kama una sitting room kubwa fofauti na m41 inafaa zaidi kwenye small rooms
Ni muhimu mnaweza kuwa watu wawili lakini kila mmoja ana kitu chake anachopenda na uhitaji unakuwa kwa muda huohuo kwa mfano mmoja anacheza game na mwingine amekuja na flash anataka asikilize muziki hapo huoni kama hawa jamaa wameyaangalia sana tabia na maisha yetu mkuu.
170w/channel na nina spika za yamaha pair ns-f150 pamoja na subwoofer yake yst-sw315pn yenye option ya music na movie unaweza kugoogle ukaona uwezo wake.
Siku hizi mkuu hakuna mziki mzuri na hawa wafanyabiashara wamegundua sisi washamba wa home theatre basi wanatuletea haya mamchina yameandikwa 1000w wakati ule mziki wa fiesta tu haujafika 500w sasa ndio ujiulize hapo ukifika home ukifungulia vol 10 tu unaanza kusikia madebe tu yanalia hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.