Recent content by Nasdaq

  1. Nasdaq

    TRADERS! Ukiulizwa kwanini unatrade currency pair/index or commodity unayotrade utajibu nini?

    Mimi na trade Nasdaq kwasbabu hizi;- Muda Kwangu mimi unaanza muda then ndo ije price kama sijui muda then I can do nothing in the market pia nafanya kazi zangu zote then saa 16:30 EAT ndo nakuwa mzigoni nikichelewa kuna saa 17:00EAT nikichelewa kuna saa 21:00EAT kwa maana nyingine haiingiliani...
  2. Nasdaq

    Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

    Sishangai Robert Heriel Mtibeli kutokumweka bwana rikiboy namba moja na falsafa yake ya kula tunda kimasihara ndio aje Liverpool VPN na falsafa ya kataa ndoa kwasababu kisaikolojia watu huwa hawapendi mjue vitu wanavyovipenda kwasababu vitawapa lead ya kujua wakoje.
  3. Nasdaq

    Wachambuzi wa mchongo Jf wataweka wapi sura zao baada ya ushindi wa 2:0 na total dominance iliyooneshwa jana

    Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og "Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani .... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ..." Kosa la Labani og ni kutumia neno professional kwenye kujiaminisha kwamba...
  4. Nasdaq

    Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Haha wewe ni kati ya watu ambao sitakiwi kuwajibu maana una zile chant zako za kufanya mambo yako yawe mepesi mno
  5. Nasdaq

    Ukweli wa pesa za goli la mama

    Kuna hii discussion ya goli la mama ambapo hatujui hela zinatoka wapi ila tunajua anatoa mama but guess what kama wewe ni mtu unayefuatilia hizi press comference za Ahmed Ally, Ally Kamwe na Hashim hasa za kuhamasisha watu waje kwenye mechi za stars kuna kitu lazima umekiwaza Nini kilitokea...
  6. Nasdaq

    Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Ukitaka kitu cha fasta hivo kuna price utatakiwa ulipe na pia huo utajiri unaweza usidumu kwasababu hustling inakupa funzo la kuwa na nidhamu ya pesa
  7. Nasdaq

    Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Well back in the day wakati naanza kujitosa katika ulimwengu wa Trading as second source of income kila panapokucha unaona utajiri sindo huu hapa kumbe reality ni kwamba hicho kitu ni kama duka tu, huwezi ukafungua duka leo kesho ukawa tajiri ghafla na huwezi ukapata faida zaidi hata ya nusu or...
  8. Nasdaq

    Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Haha labda ushinde jackpot mkuu
  9. Nasdaq

    Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Inadeal na nini hiyo kampuni mkuu
  10. Nasdaq

    Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Sio wachumi tu sekta zote wasomi huwa tuna tabia ya kufanya kazi kwa mazoea hamna msomi ambaye anafikiria nje ya box
  11. Nasdaq

    Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  12. Nasdaq

    The Richest Man In Babylon

    Tips: Start thy purse to fattening (Pay yourself first using the skills you already have) Control thy expenditures (Keep your expenses low) Make thy gold multiply (Invest what you save) Guard thy treasures from loss (Protect your investments from loss) Own thy own home (Invest in a home) Insure...
Back
Top Bottom