Recent content by nasami

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama NMB Wanataka kuniimbia tsh 400,000.

    ndugu yangu katoa laki nne akakatwa Mara mbili ikawa laki8,na hili amegundua sku ya pili ilikua shida acha kabsa,cjui ndo kunatafutwa hela za uchaguz!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    tuambie makengeza alivyotumia ruzuku ta 2012/13
  3. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    nchi zinazopenda kufuata demokrasia ya kwel zitto ni mtu muhimu sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    mkuu kosa la zitto ni kua mzalendo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    na kamwe hutomuona anamaana kwsbabu we ni wa Kilimanjaro na zito ni wakigoma
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    we dada nan kakuambia zito anashida sana na chdm?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    we ndo Juliana?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    kisa kuuliza mapato na matumiz?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    tunabadilishana we unatoka mi ndo namfollow muda c mrefu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    kwa nchi kama marekani wanakofuata demokrasia zito ungekuwa prezidaaa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    zito we ni mwanaume na unakubalika sana,kila linapokuja jina lako watu wanajazana kupata habar zako,big up brther
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    ipo sku mtajilaumu kwa maneno yenu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mmetutia aibu huko Botswana

    we kilaza sku nyingine ufiche upuuz wako,yanga kaa nayo mbali,mikia mireeeeefu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete achambua pesa huku akipiga mluzi!

    huyu ndo prezdaa wetu hana makuu,mtu wa watu,ingawa kuna mapungufu ya hapa na pale.MUNGU akulinde mh
  15. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    we kwel popo
Back
Top Bottom