Kwanza inaonyesha huyo dada mama yake ndie anampampu. Alafu ampeleke ustawi wa jamii huyo dada. Je Mama yake akimwambia aseme huyo mtoto sio wake huyo jamaa. Mhhh.... Makubwa haya
Kuhusu kumshawishi baba yako kujiunga na ilo lichama nampongeza sana. We una digrii lakini akili huna. Hiyo laki 7 ungenunua boda boda Usingekosa hela ya kula kuhusu kulala hata juu ya pikipiki ungelala. Usiwaze kuhusu mirathi yA baba yako tafuta chako
Na mimi kama wewe mkuu hii mada inanilenga kwa 100%. Ila mm nikifikiria ili swala kichwa kinauma. Ila najipiga ganzi tu sema mimi nilijitambulisha kiaina. Alafu mwanamke mwislamu mimi mkristo.
Sijawahi kufanyaga au kufanyiwa sherehe yoyote katika maisha yangu. Sijuagi kuhusu hii kitu huo mwezi hiyo tarehe na mwezi nilipozaliwa huwa unapitaga hata sijui. La mbolea msisahau kunawa mikono kwa sabuni yenye amfifiro na maji tiririka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.