Recent content by NASAELI

  1. NASAELI

    Kupatwa kwa jua ni ishara ya Mungu kumkubali Rais Magufuli

    Hili ni tukio la jeografia ambalo hutokea Kila baada ya walau miaka 15. Nashindwa kuelewa linahusianaje na Magu? Kwa hali mapambano dhidi ya maadui wale 3 aliowataja baba wa taifa kama umaskini, maradhi, na ujinga. Bado Kuna haja kuongeza mapambano dhidi ya maadui hawa hasa huyu adui ujinga...
  2. NASAELI

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kwani uhakiki wa akaunt za watumishi unahusianaje na uhamisho wa watumishi wa umma kwa uhamisho wa julai 2016? Nawasilisha
  3. NASAELI

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Tusubiri waugwana mambo yatakuwa mazuri
  4. NASAELI

    Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

    Wakubwa Vp? Uhamisho wa watumishi wa umma julai 2016 utatolewa lini? anayejua atujuze
  5. NASAELI

    Kwa wale walioomba uhamisho wa July 2016

    Wakubwa kwa Anayefahamu uhamisho wa watumishi wa umma julai 2016 utatolewa lini atupe information. Thanks
  6. NASAELI

    Kikeke ambana Maalim Seif

    That was closed ended questions posed by Salim Kikeke and Maalim was supposed to respond briefly but promptly
  7. NASAELI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo muleba kagera nije manyara au singida 0786799530
  8. NASAELI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo muleba kagera nije manyara au singida Idara msingi 0768310510 0676799531
  9. NASAELI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndg Martin njoo basi hapa mkuu wilayani nije babati 0786799530
  10. NASAELI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl yupo MERU DC Arusha anatafuta mtu wa kubadilishana naye toka NYAMAGANA/ ILEMELA DC Mkoa Mwanza idara sec. 0758570768 au 0785410863 au 07652180574.
Back
Top Bottom