Recent content by Nas Mapesa

  1. Nas Mapesa

    USHAURI: Serikali fungieni na makanisa ya Katoliki, Lutheri na Anglikana

    Wachungaji ndio wa hivi vikanisa ndio waharibufu
  2. Nas Mapesa

    Baada ya Chama na Mkude kuwapenyezea za ndaaani

    Endeleeni kulelewa na karia waoga wakubwa nyie,mmechungulia mkaona kuna 8 zinakuja😂😂😂 hii mechi hata ichezwe miaka miwili ijayo mtaliwa vizur tu
  3. Nas Mapesa

    Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Sasa wale waganga waliojaa kwenye bus ndio walikua wanataka kuingia kufanya mazoezi?
  4. Nas Mapesa

    Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

    Nilivyoona tu list nikajisemea k.alia ni mknd
  5. Nas Mapesa

    PreGE2025 Mkutano wa CHADEMA Mikocheni umezuiliwa ila chawa wamekata keki feri karibu kabisa na Ikulu, hii tunaiitaje?

    Kwa hiyo kuna wavuta ngada walitaka jambo lao ndio liwe kubwa kuliko mkutano wa nishati?Yani nchi Iko busy na mambo ya msingi then wavuta ngada nao wanandaa content et waende hewani😆kongole jeshi letu
  6. Nas Mapesa

    CHADEMA imeipasua CCM kati kwa kati

    Madhara ya skanka
  7. Nas Mapesa

    Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Hayo ni mambo ya kuja na kupita dogo usiache ku focus na mambo ya msingi sababu ya huyo mtoto mwenzako, wewe sio wa kwanza kuumizwa,watu wanaumizwa haswa na wanaji keep busy na mambo ya msingi,huenda kuna jambo unaepushiwa nalo,zidisha sana Ibada.
  8. Nas Mapesa

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Woga wa nini sasa? mnajiita wasomi halafu mnaogopa midahalo kwani anatukanwa mtu?tusikilize then tuchambue,dini yako ikiwa ni ya kweli na huna wasiwasi nayo hupaswi kuogopa midahalo.
  9. Nas Mapesa

    Yanga kiburi kimerudi kwa kasi sana, wanawataka malaika tena

    Mbumbumbu umeamka na kisungura?
  10. Nas Mapesa

    FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Mwisho wa siku utasikia tunakwenda Kwa mama kushtak,hongereni Kwa ushindi lakini msisahau sisi ndo wakali wa hizo kazi chafu,tulieni mtaona
Back
Top Bottom