Recent content by Narumu yetu

  1. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    Hawajafundishwa hivyo ni hisia zao binafsi wana akili za kipolisi.
  2. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    Waache hisia hawajafundishwa hivyo, kazi ya jeshi ni kulinda raia, hakuna jeshi linalopigana na raia wake milele, watauondoa utawala na kiongozi wake na kuweka mwingine taifa linasonga mbele ni bra afe mmoja kuliko liangamie taifa zima.
  3. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Wewe huna mchango wowote katika jamii na taifa kiujumla zaidi ya uchawa.
  4. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Watu wa Pwani ni wana chuki na watu wa bara wenye akili, baada ya ku failue kumuua sasa mnataka kumnyamazisha kwa kumfunga hamuoni aibu.
  5. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tuhuma za Bodaboda kumfanyia ukatili Mwanafunzi wa Darasa la 3, Jalada tayari lipo kwa Mwanasheria wa Serikali

    Huyu Mama ni msomi ana utu na ni mcha Mungu ni mfuatiliaji na mtendaji mzuri sana kazini, alistahili awe ndiye Rais kwa sasa, kiukweli huu ukoo wa akina Gwajima ni watu smart sana kichwani wanakuchukua hatua za haraka kabla ya mambo huharibika.
  6. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

    Leo anaenda kwa kuwa mashoga hayatakuwepo.
  7. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

    Amesema hawezi kukaa meza moja na mashoga.
  8. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Botswana, Duma Boko: Unapoingia madarakani inaweza kukuchanganya na kukufanya ujione kama nusu-mungu

    Changamoto ipo baadhi ya nchi za Afrika mashariki.
  9. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mussa: Warioba Tatizo Kuu la Watanzania

    Kwa nini awamu ya sita hawataki katiba mpya?.
  10. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mussa: Warioba Tatizo Kuu la Watanzania

    Warioba ni mwanaccm ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo, zama hizo na sasa.
  11. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mussa: Warioba Tatizo Kuu la Watanzania

    Alitimiza wajibu wake, ikabaki wajibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiongozwa na wingi wa Wabunge wa ccm ndio walizuia kuipitsha rasimu ya pili ya Katiba ikakwama Bungeni.
  12. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Ni Halali kabisa Kuyumba Na Kupoteza Muelekeo kwa CHADEMA. Mnyika Elimu Kidato cha 6 Huku Heche Akiwa Na Elimu ya Hapa na pale. Wafuasi nao sifuri

    We nyumbu huna akili ni mtego wa maswali mahakamani katika kesi yoyote ile itakubidi ujibu kiakili ili umpoteze Katuga lengo alilokusudia mbele yako, Mnyika ni msomi wa vyuo mbalimbali hivyo basi, nitataja hapa ukivihitaji.
  13. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Singapore Yatoa Dola 70,000 Kuvutia Wanandoa Kupata Watoto Huku Uzazi Ukiporomoka

    Wanajielewa gharama za maisha kuzaa ni umaskini bora uache.
Back
Top Bottom