Recent content by Narumu One

  1. Narumu One

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    We umeshkishwa ujinga akilini mwako aidha unajua au hujui.
  2. Narumu One

    Faida na tahadhari za mboga za spinach kwa afya

    Asante kwa ushauri mzuri tumeuchukua tutauchunguza kama una ukweli ndani yake.
  3. Narumu One

    Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    We Zitto hili la Luoga umeliona.
  4. Narumu One

    Turekebishane: TISS ni Idara au Taasisi?

    Ipo chini ya Wizara ya nchi Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora Waziri wake ni Jenista Mhagama
  5. Narumu One

    Swali gumu la mwaka 2023: Je, utapenda ufe ukiwa na umri gani? Kwanini?

    Sa Ni kweli kabisa maana hawa Tacri wapo hapo Lyamungo na kwa sasa wana shamba darasa huku maeneo ya Fofoo kwa chini inaonekana wewe ni mtaalamu wa kilimo na mtafiti asante sana father Mungu akupe afya njema bado tunakuhitaji kwa mchango wako hapa ndani.
  6. Narumu One

    Swali gumu la mwaka 2023: Je, utapenda ufe ukiwa na umri gani? Kwanini?

    Safi sana vipi kule Lyamungo Ari Kilanya sikuoni tena umeacha kuja maana miaka ya 2000-2001 ulikuwa ukikatiza na ile Suzuki vitara mara pikipiki Honda wapi kwa sasa home.
  7. Narumu One

    Swali gumu la mwaka 2023: Je, utapenda ufe ukiwa na umri gani? Kwanini?

    Bado uko Machame unamalizia sikukuu ya mwaka mpya au umeondoka.
  8. Narumu One

    Je, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ana hadhi sawa na Wenyeviti wa vyama vingine?

    Zitto anapenda cheo na cheo cha mkuu wa chama ni zaidi ya uenyekiti na cheo alichonacho hakigombewi kwa hiyo Zitto ni mfalme ndani ya Act ni sawa na kusema Act ni mali Zitto na dola viongozi wengine fanyeni uchaguzi kuanzia ngazi zote za chini hadi level ya uenyekiti lakini cheo cha mkuu wa...
  9. Narumu One

    USHAURI: Nimeamua niwe winga Karikoo

    Ndiyo nimerudi niko hapa nalima
  10. Narumu One

    Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    Mkuu niko hapa Pade bar nakula vitu vyangu kimya kimya hawa wahudumu wamekaa kwa mbaali wakiniangalia nami anaendelea na safari zangu bariidi wala sina habari nao wao ni kujipitisha na mizambwandwa yao mi nawambia kimoyomoyo maisha ni magumu kila mtu apambane na hali yake.
  11. Narumu One

    USHAURI: Nimeamua niwe winga Karikoo

    Rudi kwenu Arusha kalime.
  12. Narumu One

    Mrejesho: Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwa hiyo unaona ni bonge la ubunifu kwa ulichoandika.
  13. Narumu One

    Tanzania mtu ana Kodi mkononi anahangaika kuilipa

    Kwani Mwigulu Mchemba na Mama Samia hawajaliona hilo tatizo.?
Back
Top Bottom