Recent content by naro

  1. N

    Wanahitajika watu wa Finance, statistics na Projects

    Naomba maelezo ya kutosha kidogo kuhusu jina NGO au ni taasisi gani mkoa gani
  2. N

    Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    Nimeona nikujibu us Nimeona nikujibu usije ukajinyonga bure kwanza ujue kuwa unatakiwa kusoma majibu ndani ya dakika 10 baada ya hapo kipimo kinaweza kuchora mistari mingine ikakuchanganya lakini pia ujue mistari mmoja ni negative yaani hauna miwili ni positive yaani unao japo wewe ulisema...
  3. N

    Malawi refuses to release 8 suspected Tanzanian spies: Minister Chiumia says should face prosecution

    Akili yako ndogo kuliko umri wako, Mimi sio kaa wewe. Ni Chadema damu damu kadi yangu imelipiwa mpaka 2018 ninajielewa na nimeandika ninayoyafahamu sio wewe unayekurupuka na kama upo Ukawa basi hautufai ndo nyie mnaotuharibia image ya ukawa .
  4. N

    Malawi refuses to release 8 suspected Tanzanian spies: Minister Chiumia says should face prosecution

    Ni raia wake, kwanini asifanye hivyo. Ni ukweli usiopingika wale hawana mahusiano yoyote na usalama wa taifa. Ni katika kujitafutia tu Riziki,wana NGO's iliyopata ufadhili wa kufanya utafiti wa madhara yatokanayo na uranium. Jaribu kumuuliza mtu yoyote aliyepo Songea.
  5. N

    Malawi refuses to release 8 suspected Tanzanian spies: Minister Chiumia says should face prosecution

    Mbona roho mbaya hivyo wewe, wanyongwe wamekosa nini. Hauna roho ya ubinadamu wewe, familia zao zinaumia kuwakosa kwa miezi yote hiyo wewe unadiriki kusema wanyongwe. Jamani watanzania mpuuzeni huyu mtu na roho yake mbaya hawa ni watanzania wenzetu wa kawaida tu, walitokea huku Songea kwenda...
  6. N

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Wewe Lizaboni nahisi una uchizi kabisa, maake sijui ni mahaba ya kujifanya haujui hata elimu ya huyo mbunge wako mpaka awe waziri mkuu, na haliwezi kutokea ungekuamshauri vizuri wa serikali yako ili angalau ahadi zenu kede kede mlizo ahidi ungempenekeza PRO.SOSPETER MUHONGO.
  7. N

    Tunduma hali sio nzuri, kuna sintofahamu mpaka sasa!

    Mimi niombeeni wanamabadiliko wenzangu maana nina wazia wenzangu mabaya angali nikijua kuwa ni dhambi kumuwazia mabaya adui wako ila nashindwa kujizui kuwaza....... Mnajua nawazia nini hawa wenye nchi?........................ Ukipata jibu hapo, basi mjue wazo langu na maombi yangu yakitimia...
  8. N

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Atakiona cha moto niheri angeshindwa tu maake mafisadi na majizi yapo CCM Sasa sijui atakavyotekeleza ahadi zake!
  9. N

    Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Wote tunafia humohumo? Lakini sio mbaya maake watanzania wengi bado ni wajinga twaazibuni tu, nipo Ruvuma huku naona ndo misukule ya CCM hawajielewi hata kidogo, Kama kuna wanaruvuma waliokomboka akili zao huko washaurini waje wawaelimishe ndugu zao maana ni aibu tu kwa maisha wanayo ishi na...
  10. N

    Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha leo hii siku ambayo niliisubiri kwa hamu sana, Napenda kumshukuru sana MH EDWARD LOWASA kwa uzalendo na uaminifu alio tuonyeshea watanzania wenye shauku kubwa ya MABADILIKO japo naamini kabisa amepitia majaribu mengi sana tangu alipo jiengua...
  11. N

    Lowassa will win a landslide

    Siku hizi hata wazee wamebadilka, Jana nilikuwa naongea na mama yangu mwenye umri wa miaka 68 nikita kujua msimamo wake kisiasa akafura kweli yaani watoto wa matajiri ndo wapate kazi wakwetu masikini wasipate kazi hapo kesho naenda kupigia kwenye vidole viwili tuone na wengine watatusaidiaje...
  12. N

    Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Mimi mwenyewe tayari kama nilivyo ahidi ku delete CCM,
  13. N

    Dereva alizimika kuzima radio iliyokuwa ikipigwa wimbo wa kuitusi UKAWA

    Huku songea raha tupu ukipanda daladala hasa za peramiho-songea mbele kw dereva ni vipeperushi vya Lowasa tu, mwaka huu ccm wataisoma.
  14. N

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Ruvuma wamekata umeme mida hii baada ya kuona nyara yao inaanikwa wazi na askofu!
  15. N

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Hahahaha hamtuchomoi kabisa tushamzimia ko hata angesema yeye ni gaidi ss tuko naye tu,ndo chuguo letu,hv ule wimbo wa huyo chaguo lako umewapta kuchoto hata kama n fisad,hata kama n mdn,hata kama n mkabila,hata kama n mgonjwa chaguo letu! huyo chaguo letuu!
Back
Top Bottom