Recent content by narenanyuki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Utafiti hupingwa kwa utafiti acheni blah blah
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usahili PPF

    Umeitwa post ipi kaka?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usahili PPF

    Umeitwa post ipi kaka
  4. N

    JamiiForums Tanzania Pinda apokelewa na Naibu Waziri Botswana

    Acha kudanganya umma wewe, Mh Mizengo Pinda amepokelewa ktk taratibu za kiserikali kama viongozi wengine wakuu wanazuru kwenye nchi yoyote kwa ziara za kiserikali, hata hivyo Pinda alienda Botswana kumuwakilisha Mh Rais kwenye mkutano wa SADC na tayari leo amesharudi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Leo Mtoto wa Mkulima wanamkumbuka
  6. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Wewe unasema mzee wa kulialia lkn Albino leo wanakumbuka chozi la Mtoto wa Mkulima na dunia inahuzunika kwa ukatili huu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Acha kuongea utumbo wewe Njaa Mbaya sana kama jina lako, thibitisha udhaifu wa Waziri Mkuu. Waziri Mkuu Pinda amejitahidi kurejesha heshima ya serikali
  8. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Wew acha upuuzi, Huwez mfananisha Waziri Mkuu Pinda, na huyo Lowasa wako,
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pinda azidi kuonesha makali

    Heshima kwake Mh Waziri Mkuu naamini kwa hatua hiyo itawafanya watenadji wazembe wawe makini kiutendaji na kurudisha nidhamu ya kazi serikalini.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kikao cha Friends of Lowassa kilichofanyika Babati - Manyara

    Huyu mratibu wa 4u movement Hemed Ally ndiye anayesumbua watu humu jamii forum kwa kujiita Ocampo four. Ni kijana mwenye njaa sana. Muda si mrefu tutwawekea picha yake. Asidanganye watu na hiyo movement ya kipuuzi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kikao cha Friends of Lowassa kilichofanyika Babati - Manyara

    Ni upuuzi nyinyi vijana kutumika na huyo jamaa ambaye kimsingi hana sifa za kuwa Rais wala Amiri Jeshi Mkuu. Mnatumika kwa njaa zenu na mtaachwa kwa njaa zenu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA

    Mkuu nmekutumia namba, check inbox
  13. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA

    Mkuu kama bado upo hapo diamond nitumie namba yako ya simu nikupigie uniangalizie jina
  14. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA

    Weka namba yako ya simu tukuelekeze mkuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA

    Mkuu Kapilula, ukitaka ku attach picha ingia sehemu ya kureply, then bonyeza kitufe cha option itakupa option kadhaa zen chagua attach itakupekeka moja kwa moja kweny gallery, baada ya hapo utachagua picha unayotaka ku attach.
Back
Top Bottom