Recent content by Napoleone

  1. Napoleone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Wanaume tunaojiamin hatukuwepo kwenye hiko kikao... Kutoshika sim ya mti wako huo ni uoga wa kijinga... Na huenda mwanamke anakutawala
  2. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Uingereza na Ukraine zailalamikia Urusi kutumia makombora makali ya kuangamizia 'aircraft carriers' kuwatandika nayo wanajeshi wa Ukraine

    Ndo yale mambo tunapigana.. halaf wew unakimbilia kunipiga tumbon.. unataka kuniua
  3. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    Jidanganye.. tena hao ndo wanaongoza kuuza nyama pori.. wanazileta mjin... Masai akiona njaa imekua kal.. hana peda/cash.. anavuta nshale tuu anajipigia mbogo.. anaenda uza nyama
  4. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

    Waarabu wanapenda maji.... Pia hilo ni jengo lao... Sultan sayed said aliishi hapo
  5. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

    Na upumbavu wa wananchi unachangia.. nnchi ina wapumbavu weng mno
  6. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    Umeongea upupu
  7. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    Kabisa mkuu... Wamezoea kula nyama za kitonga za bure porin.. mama.e zao.. waje huku wajichanganye... Wanatumia mapori na hifadh kwa advantage ya kitonga.. maisha... Nyama bure. Matunda bure. Ardhi bure.. Naunga mkono kutolewa hao was.e....
  8. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    uko sahih snaa mkuu.. naunga mkono hoja 100%
  9. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

    Point ya msing uliyoandika ni moja tu.. kuwa iangalie namna zingne za kupata hyo income... Bas Ila kwenye altenative ya kuhamisha wanyama instead ya masai.. uko wrong vibaya mno... Kabla ya masai hyo land ilikua na wanyama asilia...
  10. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Hahahahahhahahahaha
  11. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

    Unawaona kina jokate.. mwana fa.. kina nan sjui wanaingia huko.. ile ni saccos ya kuingia na kujichotea tu kimipango mipango... Yaan ni mahala halal pa kuhalalisha wizi . Hahahah... Wacha tupigwe tu ila trust me ipo siku kitanuka
  12. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya BoT yaonesha namna Awamu ya Sita ilivyofungua uchumi wa nchi

    Akil ndugu yangu... Tuna viongoz wa ajabu sanaaa nchi hii
Back
Top Bottom