Recent content by Napoleon Bonaparte

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tuache kuitupia Serikali lawama dhidi ya wanafunzi waliokosa mikopo

    Akili duni kama hizi bdo zinaishi kweli?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Ndo hivi tunaanza tarehe 19 bila majina ya second batch kutangazwa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Ndo mliolishwa unga wa ndele
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa hali ya mikopo ya elimu ya juu 2016/2017 kutikisa Bungeni leo

    Hali ya utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetajwa miongoni mwa mada nzito zitakazojadiliwa leo hii bungeni. Hivyo wahusika mfuatilie.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Ila kama una sifa bdo una nafas lakn ukitafta mustakabali wko hku heslb
  6. N

    JamiiForums Tanzania Walichofanya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu sio haki!

    Naandika post hii Leo SAA 01:40 USIKU 16/10/2016 . Sitasahau usiku huu nikiwa nmekosa furaha, amani na usingizi lakin yote nimesababishiwa na HESLB !. Inasikitsha pale ambapo masikini anafanya juhudi za kujikwamua kutoka katika umasikini halafu juhudi zake zinazimwa! HESLB wanaonesha kila...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mnaotegemea kupata mikopo loan board piteni hapa

    Wadau kwa mujibu wa ujumbe alioutoa bhana venance shitindi tusipofatilia swala hili linakula kwetu hapa chamsingi ni kuifkishia serikali malalamiko kwann wasitekeleze agizo la raisi wakati wa kampeni ?. Unaambiwa hta boom znaendaktilewa kwa % Ko ukpata mkpo % labda 50 boom pia itapgwa kwa % 50...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    Ni sheeda wtu tumeshindwa kul tokea asbui coz tnawaza nn hatma ya maisha YETU kama birth certificate ya baba marehm niliatach, nmesomea shule za kata na za serkal la kwanza _form six, ufaulu nmefaulu vzur zaidi. Leo hii naandikiwa SJA BE ALLOCATTED FOR LOANS KWA MWAKA WA MASOMO 2016_2017...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hahaha hawa hbsl vipi watatutoa nishai

    Wna bdae SAA sita subrn
  10. N

    JamiiForums Tanzania HESLB wanastahili lawama. Wanastahili kutumbuliwa.

    J.pili 16 wtatoa boi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB) wanaachilia lini Majina?

    Bodi wmesema wataachia majna tareh 16
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni kero

    Pia msiwe mnakosoa course za wngne kwan watu wte hwawzi kusoma sayansi na usijdanganye kwamba we kusoma saysnsi ndo ume wini maisha syo na uanze kutupia wengne matusi kisa kasoma art .
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni kero

    Xana man ndo hvyo wngne hwjui lolte zen mada ukiletwa wnajifnya wnaponda kmbe kaishia certificate na wngne hwna lolote kaz yao ni kukesha humu wkiponda mada za wtu . Ushaur wngu kwao hatupo ktka zama za ujinga tena ambpo wtu wlitafta umaarufu kwa kuongea mada za kijinga kma hwana kazi baxi...
Back
Top Bottom