Dah inawezekana side alikujua siku nyingi na alijua wewe na Mamuu ni marafiki.
Side alipanga kukutafuna kitambo, ukaingia kwenye 18 mwenyewe.
Fikiria hizi Scenario
Upo duka la Vinywaji na yeye anakuja
Anakupa Fortuner akuteke akili
Anasahau simu yake makusudi
Anajifanya hayuko powah anajua...
Amekuzidi 15 years, nadhani labda kuna siri yeye anajua kuhusu mother, bali haijastufy kumkosea heshima mwanamke mwenzake.
Mtafute na mweleze tu ukweli taratibu pia zungumza nae friendly akueleze shida ni nini.
Tengeneza mahusiano mazuri na dada yako,
Pole sana kiongozi kwa kumpoteza Rafiki yako, hii hali ni ngumu sana hata mimi nilipitia.
My friend ananitokea hadi ndotoni, sometime I feel its real.
I lost a good friend and a brother.
Kuna marafiki wazuri kuliko ndugu.
Time heals Brother
Sio aina hiyo tu, wanawake wanatapeliwa kirahisi sana.
Wana hisia(Huruma, upole na Ukarimu) sana kuliko kutumia akili.
Tapeli ukianza kumsikiliza tu ni kosaa
Mkuu naona unataka kampani ya gambe coz mtoa mada mambo ya familia na mahusiano hayupo vizuri kabisa.
Kabla hujafika mwanza akutumie namba za bamdogo
🤣🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.