Bora tuwe na kingi tukagawana, kuliko kuwa na kidogo tukagombana.
Aliyejuu mfate juu.
Baniani mbaya rudisha kwao india.
PENYE KUKU WENGI, HAPAKOSEKANI KITEWEO.
alfajiri ni kuanzia saa 9 usiku hadi 11, na kuanzia 12 ni asbh, kuanzia 6 kamili ni mchana AMBAO huendelea hadi 10.ADHUHURI IMO NDANI YA MCHANA, SAA 7 NI ADHUHURI,NA ALAASIRI NI MWISHO WA MCHANA YAANI SAA 10, Na kuanzia 11 ni jioni na magharibi inaanza kuzama kwa jua hadi saa 1 usiku.
Sasa mkuu ukitembelea kusini ya unguja si utachoka na neno "kusimika" usije ukalitamka huko.au neno tembo.
Hii ni kuonesha kwamba lugha hutofautiana katka lahaja zake na hapo ndipo tunapopata hasa maana ya lahaja
NDUGU YANGU HAPO UNATAKIWA KUPIGA MAHESABU SAWASAWA,
Angalia malengo yako nini, je kwasasa unataka kupractice au uwe just to the ofice tu .
Je hiyo LLM YUPO MSHEFA WA KUKUSPONSOR AU KIVYAKO VYAKO TU.
LOOK ON IT BABAA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.