Recent content by Nani tamu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tumekosea hapa

    Kwa hili la nyumba umenena kwani mwenye nyumba ukimnyima chunvi basi kodi juu hata mkeo akimnyima basi utasikia hama tafuta nyumba ingine niachie nyumba yangu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Imeshapoteza Majimbo ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    Sasa hiyo ni habari ya kupost? huna jipya hapo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom, Tigo, Airtel: Upi ni bora zaidi kwa vigezo hivi? Toa sababu

    Hakuna mwenye afazali hapo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

    Huyo (aligawe)hana jipya au kwakuwa unashiba kwa ajili ya ccm
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa DC Makonda Kujificha kwenye Miguu ya RPC Wambura kisa kuogopa Madereva

    Kama anaona hawezi kutuliza mgomo na yeye akaenda basi apigwe tu maana hakuna jinsi ingine mpigeni tu ee utafanyaje sasa na mtu ameenda mwenyewe.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Mayweather utata

    Utake usitake TMT kapiga ngumi za akiri kuliko PAC alikua anajipigia paspo malengo.
Back
Top Bottom