Hakuna kupepesa macho. Nasari ni muelewa. Hakuna alichokifanya kwa kutokuelewa. Drive iliyopo kwa sasa ni e-government. Kama alituma email kwa spika na kujibiwa, kuna tatizo gani? Ushaidi utaonesha. Short of that sheria itafuata mkondo wake.
Kwa kawaida kodi za wananchi na ada mbalimbali ndizo michango yao ya "lazima" kwa serilali iliyoko kisheria. Hivi ndivyo vyanzo vikuu vya mapato ya serikali ambayo yanayowezesha uendeshaji wake: kugharamia matumizi ya kawaida (recurrent expenditure) na kuwaletea maendeleo (development...
Yamkini mtu mwenye imani ya kutiliwa shaka akakataa nyoka kuitwa nyoka kuepuka kumkaribisha. Huo utakuwa ni ujinga na unafiki.
Ukweli haubadiliki kwa kupotoshwa. Uhai na maisha ya mhe Lissu vilikumbana na mikono katili ya "watu wasiojulikana". Katika hali hiyo moyo wa binadamu yeyote awaye...
Yamkini mtu mwenye imani ya kutiliwa shaka akakataa nyoka kuitwa nyoka kuepuka kumkaribisha. Huo utakuwa ni ujinga na unafiki.
Ukweli haubadiliki kwa kupotoshwa. Uhai na maisha ya mhe Lissu vilikumbana na mikono katili ya "watu wasiojulikana". Katika hali hiyo moyo wa binadamu yeyote awaye...
Kuendesha nchi na uchumi wake si suala la mtu mmoja. Hakuhitaji sarakasi wala mikakati binafsi.
Hata bajeti ya kifamilia inahitaji majadiliano ya me, ke, na watoto; kama ni wakubwa. Sheria ya Takwimu ilipitishwa fasta kuilinda kaya dhidi ya ukweli kuwafikia Watanzania. Mheshimiwa ZK alipaaza...
Mwacheni Mhe Lowasa ale uzee wake na pensheni kwa amani. Hekaheka dhidi ya upinzani na wapinzani zimemtosha. Aidha,, zinataka mwanasiasa ambaye bado anajisikia yuko vizurikiafya. Aliweza kuhimili ni marehemu Ngombale Mwiru kwavile ya imani yake.
Hali (conditions) hubadilika na siasa nchini na...
Hesabu na "timing" ya nhe Lowasa ni zero na inampa taswira halisi.
Lowasa alihamia CHADEMA waliokuwa wamemwandama kwa kumtuhumu kwa ufisadi baada ya Mbowe "kubadili gia angani" ili kupata fursa ya kugombea nafasi ya uras kwa tiketi ya chama hicho. Akashindwa katika Uchaguzi Mkuu. Kumbe kama...
Sera iliyokuja na mabadiliko ya uchumi kutoka ule wa hodhi ya makampuni/mashirika ya umma ni kkufanya uchumi huria. Serikali ikajitoa kwenye shughuli za kibiashara. Ikawepo biashara huria. Nia na madhumuni ilikuwa kuondosha ukiritimba na kuongeza ufanisi na tija katika uchumi.
Wakulima wa...
Nia ya kuwasajili wakulima ni nn?Mkulima yupi asiyeulikana kijijini kwake? Na hili linagharimu pesa pesa "Ubunifu" huu hauna mantiki. Zipo tawimu za sensa, wapigakura, na vitambulisho vya taifa. Ikaja sheria ya takwimu. Hofu ya takwimu mbadala inakujaje kama "hazipikwi"? Haieleweki kama mradi wa...
Nchi hii inaendeshwaje na nani?
Walio na macho waliisha kuona hatari ya kutokea haya na hatma ya utawala bora wa sheria.
Waliosoma historia ya Ujerumani watakumbuka Hitler alivyopanda madarakani kwa ushabiki na baadaye kuitawala kwa staili yake. Marehemu Baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere aliwahi...
Achague lipi sasa kati ya haya: Dira, malengo au vipaumbele vya taifa?
Mpangaji, mtunza pesa, na mtendaji yeye!
Ndege anunue, alipie, na apeleke "gereji" yeye kwa kuhofia kupigwa.
Nikukumbushe mfia chama chetu. Mada kwa ufupi ni mchango wa Ruge kwa chama, "ukubalifu wake kwa jamii, kutoswa kwake, mwisho wake wa mashaka, na msiba wake.
Nyakati za kampeni za kuwaomba wananchi "ridhaa ya kuwaongoza, wagombea hufimama majukwaani na kusikika wakisema; " nitakuwa . . . wa wananchi wote bila ya kubagua kwa misingi ya itikadi za kisiasa".
Vijana wa Afrika wameanza taratibu "kuamka" ili kulikomboa bara hili kutoka kutokana na...
Akina mama vijijiniwanatumia Massa 3-4 kupata ndoo 1 ya maji yasiyo safi wala salama. Majukwaani: "maji yanapatikana kwa asilimia 80 mijini na 60% vijijini."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.