Tutakachoshuhudia ni Tanzania Mpyaa yenye CCM mpya. Nionacho ni new birth "kuzaliwa mara ya pili"! The ongoing events will eventually end up with internal as well as external cleansing! Nasubiri kwa shauku kuiona Tanzania mpya.
"Chema chajiuza....kibaya chajitembeza" (chajinadi)....! A new era is dawning in Tanzania as from 1st November 2015. I marvel what is about to unfold in this country!
Ukitaka kuzijua pitia rekodi ya kesi za jinai (reported) za Court of Appeal na High Court ndipo utakapojua. Jamaa ni jembe rafiki! Si mzaha na NI MWADILIFU. Hii ndiyo sifa namba 1.
Mganga ni mchapakazi wa kuigwa.... anastahili uteuzi huu. Nampongeza kwa dhati. Nimefanya naye kazi kwa karibu sana. Uwezo wake ni mkubwa na ameendesha mashauri mengi magumu kwa ufanisi. Hongera Mganga. Piga kazi kwa bidii zaidi.
Nachelea....kusema. Akilini nimeikumbUka story moja kwenye Bible inayohusiana na jinsi Wana-waisrael wakiwa na Kamanda wao Yoshua walivyo uangusha mji mkubwa wa Yeriko lakini wakapigwa na ka-mji kadogo sana kaliko itw Ai. Uovu ukiendelea sana katika nchi yetu si ajabu 'Ai' ikatufanya tujute...
Nachelea....kusema. Akilini nimeikumbika story moja kwenye Bible inayohusiana na jinsi Wana-waisrael wakiwa na Kamanda wao Yoshua walivyo uangusha mji mkubwa wa Yeriko lakini wakapigwa na ka-mji kadogo sana kaliko itw Ai. Uovu ukiendelea sana katika nchi yetu si ajabu 'Ai' ikatufanya tujute...
Nadhani "katangaza nia ya kuachia ngazi..Kwa vile Mh.Muungwana hajatamka neno...basi bado Lowassa ni PM.'Vinginevyo tusubirie hadi kikao kitakapoendelea Saa 11 jioni.Hii itakuwa historia mpya Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.