Recent content by nangasuu

  1. N

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Mama mtu ana miaka 14, binti Kazaliwa 1991, Kaanza shule pengine 1995,ana miaka 4. Kamaliza Sm, 2002 akiwa na miaka 12,hapo hajarudia darasa. 2006,kamaliza Form4,2008 form 6.hajarudia darasa. 2009-2013, miaka 4,asante degree mpaka masters huko London.?? Nahitaji masaada WA kimawazo la sivyo...
  2. N

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Mm, mama ana miaka 39, binti ana miaka 25. Kwahio mama alijifungua akiwa na miaka.. 39- 25= 14? Sasa huyu mama wa kujifungua akiwa na miaka 14,hakuenda shule? Mambo mengine tu tafakari. Hadithi lenyewe lina acha maswali kibar.
  3. N

    Hawa wakenya hawana huruma, tuwakazie

    Nauliza tu, kwani huko kenya hamna watanzania? Wao watajisikia vipi ikiwa watasemwa kwa maneno ya kejeli na chuki?
  4. N

    US THAAD System in South Korea Would 'Threaten China’s Deterrent'

    Hongera, nashangaa watu huponda marekani pasipo ku Linganisha Nchimbi ilio bora kulikoni nyingine. Russia na China hawafai hata kidogo
  5. N

    Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Mbona sita haendi mahakamani? MBONA ANAWASHWA SANA NA MDAHALO? haki ipewe nafasi yake, aende mahakamani. Ushabiki huu wa majukwani u nakera tu.
  6. N

    Dr. Slaa silaha ya maangamizi kwa Lowassa

    Kwani Lengo kuu ya chama cha upinzani ni nini?
Back
Top Bottom