Recent content by Nancy M

  1. N

    Naomba anayefahamu bei ya matunda ya strawberry Zanzibar

    Habari wana JF. Ni naomba mwenye kufahamu kule Zanzibar kilo moja ya Matunda ya Strawberry ni shilingi ngapi?
  2. N

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    hahahaaa huyu anafaa sana
  3. N

    Nimemkuta mke wangu akiwa faragha na kijana wa kazi

    Ushauri mzuri sana huu.Kumuacha sio suluhisho zuri. kula LIKE.
  4. N

    Nimemkuta mke wangu akiwa faragha na kijana wa kazi

    Nyani haoni kundule. Hata tabia za wanaume ni za kujirudiarudia sana. Leo ata sex na house maid ataomba msamaha atasamehewa. keshokutwa ata sex na mdogo wa mke wake.
  5. N

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Na hao wanaomuita malaya wao ndo wanaongoza kutembea na wake za wenzao. Eti kaleta najisi ndani ya nyumba sababu tu ni mwanamke. nyie mliooa mbona mna watoto kibao nje ya ndoa zenu. Dada lea mimba yako mwaya tena kwa amani. watoto ni shida kuwapata siku hizi.
  6. N

    Sherehe za watu wenye ulemavu zilimpigaje chenga Magufuli?

    makundi maalum walikuwa wamesahaulika sana ktk serikali ilopita. hawakupewa kipaumbele kivilee so hata bajeti zinazohusu mambo yao zilikuwa zinafinywa sana hazikuwa kubwa za kutisha. maafisa ustawi ndo wanawashugulikia makundi maalum lakini wanapata shida sana kuwatimizia mahitaji yao kwakuwa...
  7. N

    Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

    mwagonaaaaaaaa na kati ya ilembo ama?
  8. N

    Nafasi za kazi viwandani

    sijaona mantiki ya wewe kumuongelea mwanamke ktk post hii. na ukumbuke kuwa mama yako pia ni mwanamke.
  9. N

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    wewe ni chuki binafsi za kiume sio kike
  10. N

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Acha uongo wewe. Lijualikali ameshatangazwa baada ya siku nzima ya jana kushindwa kutangazwa kitu ambacho kilisababisha majengo ya halmashauri kuchomwa moto. leo saa 12 ndo wametangaza.
  11. N

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapana watu8. ni majina tu yamefanana
Back
Top Bottom