kwa hiyo kwa sababu kuna watu wamefanya hivyo na viongozi wakifanya wizi ni sawa sababu pembe au EPA. sasa uadilifu utakuwepo kama wakina flan walifanya wizi na chadema wafanye wizi pia. jamani vipi siasa hizo?
sasa ww kama unao si uweke hapa, kwani kinaongelewa na watu ni kweli na ww kama waona ni uongo weka ushahidi wako ili tupate majibu ya haya mambo ambayo yanaumiza kuyasikia
yan mkuu ni mtihani kweli, majina nayo yamekuwa issue. had yazua mjadala hivyo. hivyo hakuna mambo ya muhimu ya kujadili kuhusu maendeleo ya chama hadi kufikia hatua ya kujua majina ya watu kweli. 2015 kuna kazi kwelikweli
mkuu naungana na wewe nakumbuka kuna mtu siku moja alikuja na thread akidai serikali ya tanzania kuna haja ya kujiunga na israel katika mahusiano ya kibalozi hata kwa sababu ni nchi iliyotukuka. yani kweli bado mawazo ya kudanganywa kifikra bado yapo kwa enzi hizi kweli jamani? ama kweli kazi...
hivi hizi mahakama ya kadhi na IOC zikiwepo zina athar yoyote katika nchi na kwa udhoefu hiz nchi ambazo zinazo kuna mgogoro wowote umejitokeza hadi iwe issue kwa hapa kwetu? mi naona wache wajiunge maadam sheria za nchi hazivurugwi ama kuingiliwa kwa namna yoyote vile.
we unafikiri alifanya kwa uwezo wake ndugu yangu. nyumba za wenyewe zile na hawez fanya chochote coz washika dau wakubwa wapo tuu kimyaa. yan hapa kama ikiwezekana kumpata kiongozi wa upinzani huenda zikarudi hizo nyumba
mi bado nina mashaka sana juu ya hiyo elimu. mbona ufafanuzi ulitolewa kuwa wabunge wote walihusishwa kupewe elimu hiyo na wao wakatoe kwa wananchi. ama elimu gani zaidi yahitajika juu ya hilo?
mkuu kweli kabisa mana wanaonyesha bado wanahasira sana na wazee wa chama sijui ama walichotumwa bado hawajakamilisha. mwaka 2013 ni wa kuungana na kuwa kitu kimoja. tunawaomba nao wajirudi kwa makosa yao kama watakuwa na busara za ukweli.
huwezi endelea ndugu yangu kamauwezo wako ni mdogo wa kugharamia miradi mikubwa kama ya barabara. na kama unakopa kwa riba nafuu mi sioni kama ni tatizo na matokeo ya barabara yaonekana. ama mwenzetu waishi wapi lakini? mazoea ya kupinga kila kitu hakuleti maana.
hadi mpitishe michango kwanza ndo yafike. kuwen wawazi tuu si lazima kuleta uongo ili watu ambao uelewa wao mdogo waweze vimba vichwa kuwa jamaa analeta vitu flani. siasa na uongo hauna mana kwa enzi hizi. watu wanataka vitendo na sio rongo2
hivi kwa nini usimwambie azilete hizo taarifa na kuwaweka watu matumbo joto kuwa ana taarifa muhimu.yeye kama amezipata tunazitaka hapa na ushahidi ulijitoshereza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.