mbona hata ushahidi huna!!acheni majitaka magamba nyinyi
pembe za ndovu zilizokamatwa china mbona hamchunguzi!!? Fedha za EPA ni kina nani walirudisha wakasamehewa?
Kafanye hako kautafiti kako hata kwa CCM halafu uje useme zinatumika je hizo hela zao.Kumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.
Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?
chama kama CUF wanawatuma kila mwez wilayani kwa ajili ya uenezi wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na CHADEMA,ifike mahali CHADEMA wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayani wakati wa uchaguzi.
Chadema hakuna mwenye mamlaka ya kuhoji ruzuku ya chama. Atakaye jaribu lazima atafukuzwa chama.
Chadema jiangalieni upya.
Kumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.
Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?
chama kama CUF wanawatuma kila mwez wilayani kwa ajili ya uenezi wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na CHADEMA,ifike mahali CHADEMA wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayani wakati wa uchaguzi.
kwa sababu haya mambo siyo siri kwa faida ya taifa naomba ufanye hayaKumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.
Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?
chama kama CUF wanawatuma kila mwez wilayani kwa ajili ya uenezi wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na CHADEMA,ifike mahali CHADEMA wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayani wakati wa uchaguzi.
Ni kweli mkuu lakini hao ndo wanaojiita ma GT wa forum hiiMkuu hao wa matusi ni wale wasio na akili sana na ni wa kudharauliwa tu.