Recent content by Namuyamba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Richmond + TANESCO: The complete deal

    admin nakupongeza kwa uzalendo wako wa hali ya juu na kwa kazi nzuri unayoifanya.(nakuombea wasije kukumwagia tindikali). sasa jamani, hakuna namna tukapata na ule mkataba wa IPTL? nadhani tunahitaji vidhibiti vingi iwezekanavyo ili tuweze pata picha nguvu zaidi ya hoja juu ya uendeshwaji wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Exclusive: TANESCO's Audited Report from PPRA

    alafu tunaambiwa njia pekee ya kuokoa shirika ni kuongeza gharama kwa mlaji, hivi hawa EWURA hawakuyaona haya yaliyopo kwenye hii ripoti? kumbe hata EWURA nao ni mafisadi kama waliamua kutupandishia gharama za maisha badala ya kuishinikiza Tanesco ijifanyi overhaul, hatari tupu.
Back
Top Bottom