Recent content by Namtambo

  1. N

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Aaah hatari sana kaka
  2. N

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    mkuu kuna gari kama bmw m3 na m5 hazipo kwenye tra calculator vip zimezuiwa bongo nn? au ndio hivyo hazinunuliwi na wabongo
  3. N

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hivi kwanini haya magari hayapo kwenye TRA calculator BMW M5, M3 na M4?
  4. N

    Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Mkuu kwenye barua ya serikali za mitaa ni content gani ambazo unaandika kama unaweza kushare lakini
  5. N

    Account ya PayPal kwaajili ya kuhifadhi pesa na malipo tu

    Kwa skrill na netelller najua wanahitaji ID na Bank statement kwa ajili ya physical address
  6. N

    Account ya PayPal kwaajili ya kuhifadhi pesa na malipo tu

    ok thanks! Na kuverify account ya skrill or neteller kwa line ya safaricom haisumbui sana sababu inakuwa jina la mtu mwingine?
  7. N

    Account ya PayPal kwaajili ya kuhifadhi pesa na malipo tu

    mkuu nawezaje kutoa pesa neteller or skrill to mobile money please help
  8. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    thanks sana mkuu....nimehangaika sana nikijua imekuwa restricted kwa tanzania. Mungu akubariki sana
  9. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    chief mbona mimi bet365 haifunguki kwenye laptop yangu?
  10. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwa hiyo mkuu premier bet hawakati kodi?
  11. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimejisajili tayari... but kampuni nyingi za nje huwa zinataka kuverify account kwa ID. sasa sijajua kwa 1xbet kama ukisharegister kwa phone number ndio inakuwa inatosha au...
  12. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu hao 1xbet wanahitaji kuverify account unapotaka kutoa pesa kwa Mpesa? na kama Yes wanakubali kitambulisho cha kupigia kura?
  13. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sorry mkuu! kama unataka kutoa pesa unahitaji kuverify account? na kama ni yes je wana accept kitambulisho cha kupigia kura?
  14. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu naomba namba ya simu ya meridian,nimetoa mpunga toka alhamic mpaka leo cjapata pesa mpesa
Back
Top Bottom