Tunaomba mamlaka iangalie upya hii bei ya kuvuka Kigamboni to kivukoni kwa Seatax Sh500 ni ongezeko kubwa mno maana ni zaidi ya 100% bei tunayo panda kwenye vivuko vya serekali hii hawajatusaidia wametuongezea tatizo..
Hakuna kitu kama hicho muongozo ni kwamba kuanzia tarehe 1/8 watakao ajiriwa kwa taasisi za serekali ndo watakua lazima waende kwenye huo mfuko wa PSSSF na wafanyakazi binafsi watatakiwa kwenda NSSF.
Survey kasha pita shida analazimisha tulipie na extension ya laini kutoka waya mbili kuwa 4 kwa madai kwamba ya low voltage na nguzo ni nyingi mno za extension ni km 10 ukijumlisha na zetu 5 ni 15 na hii yote baada ya kugoma kump a chochote kitu na cha kushangaza zaidi kuna mwenzetu kaenda...
Habari ndugu? Mita ikiwa haionyeshi kioo vzr inaweza kubadilishwa na vipi utaratibu wake wakubadilisha hiyo meter ? Kuna gharama yyt? Na inachukua muda gani mpaka kubadilishiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.